rais ruto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Vita vya Sudan vinaelekea kuwa mauaji ya halaiki na tayari vimeingia katika uwanja wa maafa ya kibinadamu

    Rais wa Kenya, William Ruto, ametaka hatua za haraka na za pamoja kutoka kwa jumuiya ya kimataifa ili kusitisha vita vinavyoendelea nchini Sudan, akionya kuwa mapigano hayo yamefikia kiwango cha mauaji ya halaiki na maafa ya kibinadamu. Akizungumza katika Ikulu ya Nairobi siku ya Jumamosi, Rais...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili awasilisha ombi Mahakamani kuzuia Rais Ruto kuteua washauri zaidi

    Ombi limewasilishwa katika Mahakama ya Milimani likilenga kumzuia Rais wa Kenya kuteua washauri wapya. Wakili Vincent Lempaa Suyianka ndiye aliyepeleka ombi hilo mahakamani, akitaka pia serikali isimamishe ulipaji wa mishahara kwa washauri 21 waliopo kazini kwa sasa. Kwa mujibu wa Suyianka...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia yashangazwa baada ya Rais Ruto kudai kuwa alifanya makubaliano ya ardhi na baba yao aliyeaga dunia miaka 7 iliyopita

    Familia moja katika eneo la Narok, Kenya, imepigwa na butwaa kufuatia kauli ya Rais William Ruto aliyodai katika mkutano wa hadhara kuwa alizungumza na baba yao na kufikia makubaliano kuhusu ununuzi wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 5,800 — ilhali mtu huyo alifariki dunia miaka saba iliyopita...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu akihutubia Wananchi wa Kehancha

    Mtu mmoja amemrushia kiatu Rais wa Kenya William Ruto wakati akizungumza na wananchi wa Kehancha, Kitongoji cha Migori ambapo leo alikuwa anazindua mradi wa nyumba 298 zenye nafuu kwa wananchi. Kiatu hicho kilimkosa Rais Ruto ambaye aliendelea kuzungumza na wananchi wa eneo hilo bila kujali...
  5. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya alalamika ni vigumu sana kusifiwa na raia wa Wakenya!

    It is very rare to get compliments from Kenyans - President Ruto
  6. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Ruto avunja kamati ya Utekaji

    Rais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
  7. The Watchman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga ashangazwa na wanaotaka Rais Ruto aondoke madarakani, asema aondoke aende wapi

    Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi. Kauli ya Odinga inakuja zikiwa zimepita siku chache tangu asaini makubaliano ya kufanya kazi na Rais Ruto nchini Kenya...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Mtaniua kwa majina, kutoka Zakayo hadi Kasongo

    Rais wa Kenya, William Ruto: “Mtaniua na majina. Mlianza na hustler, mkaenda Zakayo alafu kasongo,” President Ruto jokes days after Kenyans gave him a new nickname, El Chapo
  9. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Kenya bi Rachel Ruto akutana na kufanya mazungumzo na mke wa Naibu wa Rais Dkt. Joyce Kithure

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: First Lady Rachel Ruto held a meeting with Dr. Joyce Kithure, spouse of the DP which focused on promoting sustainable school feeding in Kenya through food production on school grounds
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto awasili Dar kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC

    Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Samoei Ruto amewasili Nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso. Rais Ruto amewasili kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC utakaofanyika...
  11. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akiri kuna matumizi ya nguvu kubwa kwenye vikosi vya ulinzi vinapokabiliana na Wananchi

    President William Ruto on Tuesday acknowledged abuses by Kenya's security forces, in the wake of demonstrations against a recent wave of alleged kidnappings that have sparked outrage in the country. Security forces in the East African nation have been accused of carrying out dozens of illegal...
  12. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasiasa, Wananchi wanamtaka Rais Ruto kukemea na kukomesha Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Wakosoaji wake

    Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto amtembelea Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu

    Rais William Ruto leo Jumatatu, Desemba 9 alimtembelea aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu katika Kaunti ya Kiambu. Katika andiko la aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Kanze Dena, amesema wawili hao walijadili masuala yenye maslahi ya taifa.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana Kenneth Lusaka akabidhi KSh Milioni 5 (TSh Milioni 102) zilizotolewa na Rais Ruto kwa Kanisa la Anglikana la ACK St. Crispinus Bungoma

    Gavana Kenneth Lusaka akabidhi KSh Milioni 5 (TSh Milioni 102) zilizotolewa na Rais Ruto kwa Kanisa la Anglikana la ACK St. Crispinus Bungoma, wiki kadhaa baada ya Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto Soma, Pia: Maaskofu wa Katoliki...
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulinzi na Usalama waimarishwa Kenya baada ya funu za Maandamano kufanyika leo Rais Ruto akiwa anahutubia Wananchi

    Vikosi vya Usalama vimeongezwa maeneo ya Ikulu na Bunge kabla ya Rais William Ruto kutoa hotuba yake leo mchana Novemba 21, 2024 baada ya taarifa za Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo kusambaa mitandaoni Aidha, Jeshi la Polisi (NPS) nchini humo lilitangaza Novemba 20, 2024 kuwa Maandamano...
  16. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya ampigia simu Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za...
  18. Mstahiki Mea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ampendekeza Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais baada ya Rigathi Gachagua kuondolewa madarakani

    Rais William Ruto amemchagua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki (52), kuwa Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua (59), kuondolewa madarakani Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limepelekwa Bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura. Spika Moses Wetang'ula alitangaza uteuzi huo...
  19. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto asema Kanisa Katoliki ndio Mshirika Mkuu wa Serikali. Ingekuwa Tanzania pasingekalika!

    Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote Source: Citizen tv Ingekuwa Bongo sasa 🐼😂
  20. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Wakenya na Rais Ruto naomba mnisamehe na familia yangu kwa makosa yoyote ambayo huenda aliyatenda akiwa ofisini

    Ruto wewe ni mkritsto Unampenda Mungu achana na mambo ya kuharibu hioo nchi kaa chini malizana na naibu wako Hakuna sifa mtu atatoa kwa kelele zinazoendelea huoo kenya Naibu Rais Gachagua leo ameomba radhi kanisani Ameomba kama binadamu na kama kuna sehemu amekosea anaomba wamsamehe Kama...
Back
Top Bottom