Kama huandiki, haufugi - unabahatisha tu. Bila kumbukumbu, huwezi kujua:
Kiasi cha chakula kilichotumika
Mapato na gharama zako
Idadi ya kuku waliokufa au waliopo
Faida halisi unayopata
Taarifa = Maamuzi.
Unajua unachopoteza, unajua unachopata, na unajua wapi kuboresha ili kuongeza faida...