BARAKA N RANGE
Member
- Sep 1, 2024
- 38
- 88
Sasa ningependa tushirikiane kwa mawazo hata pia kwa kujitoa kuwekeza nguvu kuweza kuendeleza jambo hili.
BARAKA N RANGE jibu hayo maswaliNa hizo picha hapo ni za hiyo association au?
Hao vijana waliovaa sare ni wanafunzi wenzako mnasoma shule moja au ni member wa hiyo organization?,
Hizo sare ni sare za shule au za hiyo organization yenu?