polisi

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyemtumia Rais Samia taarifa za wizi wa Mahindi ya NFRA atafutwa na Polisi

    Jeshi la polisi wilayani Handeni mkoani Tanga linamsaka aliyetuma ujumbe kwa Rais Samia wa kuibiwa mahindi ya msaada ya NFRA kwa kutumia jina la Mwenyekiti wa kijiji. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe leo Desemba 30,2022 alipokuwa kwenye kikao na wananchi wa...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Mifugo ya Tsh. Bilioni 6.71 iliibwa Januari - Desemba 2022

    Jeshi la Polisi Kupitia kikosi cha kuzuia na kupambana na wizi wa mifugo Nchini limewakamata watuhumiwa 1942 wa wizi wa mifugo kwa kipindi cha mwezi Januari hadi decemba 2022. Akitoa taarifa hiyo leo decemba 30.2022 kamanda wa Polisi kikosi cha kuzuia na kupambana na wizi wa mifugo hapa Nchini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hiki ni Kituo Bubu cha Polisi?

    Ukiwa unatokea Masaki, kwenye makutano ya barabara za Haile Selassie na Ali Hassan Mwinyi, jirani na Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay, Dar es Salaam, pana taa za kuongozea magari. Kwa pembeni, pana kibanda ambacho hutumiwa na askari wa usalama barabarani kujikinga na jua. Sasa, kwa muda mrefu...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Neno 'Oyah' lilivosumbua Polisi wa Afrika Kusini

    Vyombo vya usalama vya South Africa viliumiza kichwa sana kujua ili neno OYAH ni kitu gani au ni mtu gani ambaye anakundi kubwa la wahalifu. Watanzania wengi asilimia kubwa wamejikita kwenye uhalifu aina mbali mbali. Miaka ya nyuma sana OYAH lilitumika kama ishara ya kumtonya mwenzako pale...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DC Kilosa aagiza polisi kuwachukulia hatua kali madereva wa IT wanaobeba abiria

    Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaji Majid Mwanga ameliagiza jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani humo kuweka utaratibu wa kuyakagua magari yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi maarifu kama IT na kuwachukulia hatua madereva wanaobeba abiria katika magari hayo. Mwanga ambaye ni...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa CBE aliyejinasibu kuwa yeye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kutapeli akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao limewakamata watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao kufuatia ufuatiliaji mkali unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi na Timu hiyo Maalum. Katika hatua hiyo Jeshi la Polisi...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru mwili wa aliyefia Polisi ufukuliwe, uchunguzwe

    Uamuzi umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, baada ya kukubaliana na maombi ya familia ya Marehemu Stella Moses aliyefia katika kituo Cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020. Hakimu Kiswaga ametoa Amri hiyo kwa maelezo kuwa Polisi hawakutekeleza Wajibu wao Kisheria ikiwemo kuweka wazi...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania wanatangaza bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika?

    Kumekuwa na tabia kama sio utaratibu wa nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania kutangazwa kwenye vyombo vya habari bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika. Je, kuna siri au ubaya gani kama idadi ya nafasi ikatajwa kwenye tangazo la ajira. Nilitarajia Jeshi hilo kutoa mfano linahita vijana...
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania NEMC fanyeni kama Polisi au Jeshi la Uhamiaji

    Mitaani kumechafuka hivi sasa Vigodoro vinakesha kwenye makazi ya watu serikali za mitaa zimetiwa mifukoni mwa watu Makanisa yanafunga speaker kubwakubwa zisizotofautiana na zile za kumbi za disco kwenye open space Bar nazo zinasumbua usiku kucha miziki mizitomizito kwenye makazi ya watu Wauza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa polisi miaka ya 70 na 80 ulikuwa kiasi gani?

    Hivi miaka ya 70 na 80 mshahara wa askari polisi C.P.L., ulikuwa pesa ngapi? Na kipindi hicho pensheni zao zilifika hadi pesa ngapi baada ya kustaafu?
  11. KASHAMBURITA

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za Polisi?

    Habari zenu wakuu naomba kuuliza naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za upolisi zilitoka 2022 Note nimemaliza chuo mwaka huu kwaiyo vyeti bado
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iran: Wakati maandamano yakiendelea, Polisi wa Maadili waondolewa mtaani

    Wanausalama hao ambao jukumu lao kubwa ni kuangalia aina ya mavazi yanayotakiwa kuvaliwa na raia wake wanaondolewa ikiwa ni miezi kadhaa tangu wawe chanzo cha maandamano yanayoendelea. Mwanasheria Mkuu wa Iran, Mohammad Jafar Montazeri ametoa kauli hiyo licha ya kuwa bado haijathibitishwa na...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwinyi Zahera ateuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania

    Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu. Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambuliswa kwa wachezaji wa Maafande hao wa Polisi Tanzania.
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mahakama yatoa hukumu IGP kutupwa Jela miezi mitatu

    Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa hukumu hiyo kwa kosa la kutotii amri ya Mahakama, uamuzi huo umetokana na kesi ya Afisa wa Polisi ambaye alifutwa kazi mwaka 1992, ambapo alipinga kustaafu kwake kwa kulazimishwa na kuachishwa kazi. Mahakama imeamua Inspekta Jenerali Usman Alkali Baba kuwa...
  15. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP Wambura, Waziri Masauni futeni ufisadi wa kundi hili la raia ndani ya Jeshi la Polisi

    Ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania kuna Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) ambacho kinaundwa na raia, I mean wale ambao siyo police officers but wapo ndani ya Jeshi la Polisi. TUGHE ina matawi mengi, that’s why nimeeleza kwa ufafanuzi kuwa ninaowazungumzia hapa ni wale walio ndani ya jeshi hilo na...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kuhusu rushwa polisi

    Salam Kume kuwa na malalamiko mengi kuhusu rushwa kwa polisi kwamba wanaomba rushwa sana kuliko kawaida Mimi nataka kuwa ambia sababu za moja kuu inayo wapelekea wao waombe rushwa Nuture ya kazi yao inawakutanisha na client wao kwa kiasi kukubwa na ukitaka kujua hilo angalia taasisi za...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania India: Polisi walaumu panya kula Kilo 200 za bangi zilizotakiwa kutumia kama ushahidi

    Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi. Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi zilipokuwa zikiendelea, tamko la Polisi limesema “Panya ni Wanyama wadogo na hawawaogopi askari ni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Polisi waingilia mkutano wa Chadema jimbo la Mtama

    ..kuna kipindi Ccm walikuwa wakisema Chadema ni chama cha msimu. Kinaibuka na kufanya siasa wakati wa uchaguzi tu. ..sasa Chadema wamebadilika wanataka kufanya mikutano muda wote, Ccm wanatumia Polisi kuzuia mikutano hiyo.
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran, mpaka sasa wameuawa Polisi 50 waliokuwa wanapambana na waandamanaji dhidi ya udhulumaji wa kidini

    Mamia ya polisi wamejeruhiwa huku 50 wakiuawa walipokua wanapambana kumpigania 'mungu' wa waislamu dhidi ya wananchi waliokua wanaandamana kupinga kunyanyaswa na sheria za dini. Maandamano bado yako pale pale....wamekomaa ============================== DUBAI (Reuters) - Around 50 police have...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kagera: Polisi waua watatu waliodhaniwa kuwa Majambazi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP William Mwampagale amesema tukio lilifanyika kwenye operasheni maalumu baada ya kupata taarifa kuwa kuna kundi la watu waliopanga kufanya uhalifu. Amesema kundi lilikuwa na wanaume 5 na katika uchunguzi wa awali walibaini wamekuwa wakifanya matukio ya unyang’anyi wa...
Back
Top Bottom