Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua rushwa kwa madereva na kisha kumtumia ili awashughulikie.
Kamanda Jongo amesema hayo leo wakati akizungumuza na madereva, abiria na mawakala wa vyombo vya usafiri...
Kwenye mambo ya kihalifu nchi nyingi zimelipa Jeshi la polisi wajibu wa kushughulika na uchunguzi pale uhalifu unapotokea. Kwa Tanzania Polisi kupitia kwa DCI ndiyo wamepewa kazi ya kupeleleza uhalifu unapotokea kupitia kitengo cha CID.
Kwenye Jambo la Lissu ama kwa uzembe ama kwa kukusudia au...
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.
Hivi mama...
Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
''Askari ambaye anapokea rushwa hiyo tabia ametoka nayo kwenye malezi na wananchi ndio wamekuwa wakichochea polisi kuchukua rushwa'' - Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime
Je kweri wananchi ndo wanachochea polisi kuchukua rushwa.
Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na Matumizi ya Risasi za Moto dhidi ya Waandamanaji.
Taasisi ya KNCHR inayofadhiliwa na Serikali imesema...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime
Akitoa darasa kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amezungumzia utapeli wa mitandao unaofanyika...
Jeshi la Polisi limetoa mafunzo ya siku moja kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga.
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amesema mafunzo yamefanyika baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania...
Kama tunavyojua, Hayati Magufuli, pamoja na kuwa rais wa Tanzania, hajawahi kuwa Balozi hata wa Nyumba kumi. Ndani ya Miaka Miwili akalewa madaraka.
Kumbuka Lowassa ni Mwanajeshi wa zamani na aliyewahi kupigana wakati wa vita kati ya Uganda na Tanzania mwaka 1978/79. Kaitumikia Nchi hadi uzee...
Leo waziri mkuu mh. Kasim Majaliwa amezindua wiki ya usalama barabarani.
Miongoni mwa watu wanachangia ajali za nyingi za barabarani ni polisi kupitia KIKOSI CHA KAMATA KAMATA
Polisi hao wanaokimbiza pikipiki bila utaratibu,wanachomoa funguo kwenye pikipiki sasa muendesha pikipiki anapowakwepa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga, Machi 12, 2023 Wilayani Rungwe amefunga mashindano ya mpira wa miguu yaliyojulikana kwa jina la Polisi Jamii Super Cup 2023.
Akifunga mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 8 kutoka vijiji viwili vya Ntokela na Nzunda vilivyopo Kata ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Comrade Juma Zuberi Homera amewataka makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe kushirikiana katika kuzuia na kudhibiti biashara haramu ya usafirishaji binadamu katika mikoa yao.
Homera ameyasema hayo wakati akifungua...
Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu.
Kenya. Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’amelazimika kwenda kutoa taarifa polisi ili kuokoa uhai wake baada ya...
Polisi wa England wamemhoji Star huyo wa R&B kutokana na vurugu zilizotokea kwenye Klabu ya Usiku ya 'Tape' jijini London ambapo Watu walioambatana naye walipigana na Walinzi wa Klabu na kusababisha Mtu mmoja kujeruhiwa kwa Chupa Kichwani na kukimbizwa Hospitali.
Chris Brown anayeendelea na...
Ajali imetokea leo alfajiri katika eneo la Mavi ya Ng'ombe kwenye Kijiji cha Mboga, Kata ya Msoga baada ya gari iliyokuwa imebeba maafisa wa polisi aina ya Toyata Crester yenye namba za usajili T.323 BAL iliyokuwa ikiendeshwa na Mkaguzi msaidizi wa Polisi, Ndwanga Dastani (28) aliyekuwa akitokea...
Habari zenu wana jamii. Leo nimeona tuongeee kidogo kuhusu hawa askari wetu wa úsalama barabarani.
Ukiangalia hicho kiambatanisho hapo juu, hilo ni Kosa la barabarani ambalo askari amemuandikia dereva. Japo kuwa hilo Kosa inaonekana ni la kujitungia tu, lakini shaka yangu si juu ya hilo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika muendelezo wa misako inayofanyika katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya, linamshikilia Hewad Jackson (33), Mkazi wa Kijiji cha Ilembo Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kupatikana na ng'ombe 10 wa wizi wenye thamani ya shilingi milioni kumi na tano [15,000,000/=]...
Nguvu zilizotumika kulinda wanawake zielekezwe pia kwa watoto wa kiume
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Agnes Marwa amelipongeza jeshi la polisi Mkoa wa Mara kwa kazi nzuri na ushirikiano mkubwa kwa jamii katika kutokomeza Ukatili wa kijinsia kwa Wanawake na watoto Mkoani Mara.
Ameyasema...
Kamishna Hamad alitaja sababu tatu za kutokukubaliana na tendo hilo ndani ya polisi; kinyume cha sheria, maadili na linalomwondolea ukakamavu askari.
Kutokana na mkasa huo, Kamishna Hamad aliyeonekana kukereka nalo, aliiambia Nipashe kwamba ofisi yake ina mpango maalum wa kuwasaka askari wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.