Kwanini nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania wanatangaza bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Kumekuwa na tabia kama sio utaratibu wa nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania kutangazwa kwenye vyombo vya habari bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika.

Je, kuna siri au ubaya gani kama idadi ya nafasi ikatajwa kwenye tangazo la ajira. Nilitarajia Jeshi hilo kutoa mfano linahita vijana wa kiume 500 na wa kike 600 jumla linahitaji watu 1,100.

Kutokutaja idadi ya nafasi na kuwaambia watanzania ombeni nafasi tu sio sawa.

Pia kutokutaja nafasi zinazohitsjika hadharani wengine watatumia mwanya huo kuingiza vilaza na ndugu zao bila kufuata vigezo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom