Polisi waingilia mkutano wa Chadema jimbo la Mtama

Ndomana hata kura huwa zinatoka nyingi zaidi ya wapiga kura wenyewe
 
Bahati mbaya Heche anayepitia hayo ndie yule anayeenda ikulu kuongea na Samia kuhusu maridhiano.

Haya matukio wanayokutana nayo field yanaonesha kabisa Samia hajawahi kuwa serious kuhusu mazungumzo yao ya maridhiano, sijui kwanini bado wanaenda ikulu.

Kwasababu kwa akili ya kawaida, haiwezekani baada ya mazungumzo ya zaidi ya miezi sita, bado hali ni ile ile field kama kabla mazungumzo ya maridhiano hayajaanza, Chadema wanapotezewa muda tu.

Inawezekana Samia alilazimishwa kuitisha yale mazungumzo, hakufanya kwa mapenzi yake, yule mama ni dikteta, kwani anazidi kuthibitisha hilo kila siku kwa kauli zake zilizojaa utata.
 
Unamsingizia huyu maza bure, mimi sijui kama anajua atendalo
 
Unaweza kuwa na mbwa wakali, wakawang'ata hata wageni halali uliowaruhusu kuingia kwako.
 
Unamsingizia huyu maza bure, mimi sijui kama anajua atendalo
Anaonekana anapenda sana kuitwa mama...mama.. bila kuambiwa udhaifu wake, lakini akiambiwa ukweli anageuka mbogo, wakina Zitto wanamuharibu sana Rais wetu.
 
Kama unapigana na mtu ukimwona anaanza kuokota MAWE mtazame puwani utaona mtaa wa Msimbazi ujuwe TAYARI....

HECHE .....huyu mwamba mbogamboga wajipange....
 
Anaonekana anapenda sana kuitwa mama...mama.. bila kuambiwa udhaifu wake, lakini akiambiwa ukweli anageuka mbogo, wakina Zitto wanamuharibu sana Rais wetu.
Ndugu yangu hizi ni zama za uchawa...kusifu na kuabudu.
Sijui hili pepo limetoka wapi badala ya kumsifu Mungu aliye hai
 
Bashiru na Ndungai sasahivi wanajua madaraka hayadumu, polisi ipo siku mta staafu na kuvuna mnacho panda.
 
..kuna kipindi Ccm walikuwa wakisema Chadema ni chama cha msimu. Kinaibuka na kufanya siasa wakati wa uchaguzi tu.

..sasa Chadema wamebadilika wanataka kufanya mikutano muda wote, Ccm wanatumia Polisi kuzuia mikutano hiyo.

Ccm ilishakufa zamani imebaki plcccm
 
Back
Top Bottom