Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOSEPH NGOYA mwenye umri wa miaka 34, Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za kupatikana na Noti bandia za shilingi elfu kumi.
Ni kwamba mnamo tarehe 23.02.2023 huko maeneo ya Kituo cha Mafuta (Sheli) ya Kazibure iliyopo barabara Kuu (Tunduma...
Wiki hii kumetoke trending katika mitandao mingi ya ya kijamii inayomuonesha Askari polisi akiwa kwenye gari na akisikiliza wimbo wa Whozu "Vava vava Vavavavayo" .
Nimezunguka Twitter kote na Instagram , kuna walioenda moja kwa moja na kumpa tuhuma za Ushoga. Sasa kwa kuwa video hiyo...
"Haiwezekani Mkoa wenye Watu Wasomi na Walioelimika kwa kuwa na Watu wenye Degrees, Masters na Doctorates wa Kagera kuna Uvunjifu wa Amani unaotokana na Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi na Ushirikina. Ni Aibu sana Kwakweli na lazima Ukweli huu usemwe na wenye Mkoa wabadilike na Elimu Kubwa...
Waziri Nape alitoa maelekezo watu kutoa taarifa polisi endapo watapokea jumbe za matapeli wanaokwambia tuma kwenye namba hii ama jumbe za waganga na kushinda jackpot ambapo kupata zawadi hiyo unaambiwa upige simu kwa maelekezo zaidi.
Badala ya watu kwenda kutoa taarifa polisi, kuwe na njia ya...
Aliyekuwa Mkuu wa Polisi (OCD), wa Wilaya ya Siha, Vicent Lyimo amemwandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan, akimuomba aingilie kati suala lake ili Jeshi la Polisi limpatie nakala ya hukumu na mwenendo wa kesi ya kijeshi iliyomshusha cheo.
Lyimo anadai mwaka 2016, alifunguliwa mashtaka katika...
JF SUMMARY
Tume ya Kuboresha Taasisi za Hakijinai Nchini itaanza ziara ya siku 12 katika Mikoa 13 kwa kutembelea Magereza Makuu 14 na Makazi ya Askari ili kupata maoni kutoka makundi mbalimbali wakiwamo Wananchi na Askari wa Vyeo vya chini.
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu #OthmanChande...
Popote ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwa wakati tambua kuna hili.
Wapo kwenye mazoezi ya utayari (show off) hivyo chochote watakachokifanya kisikuaminishe kwamba ni kweli
Wanakuwa wametumwa kukamilisha mpango kazi maalum katika tukio hill
Watakuwa walikuwa wanapita njia...
Musoma. Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya mwalimu Monica Patrick (31) mkazi wa Simiyu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha baadaye mwili wake kupatikana kwenye kichaka kilichopo pembezoni mwa Ziwa Victoria mjini Musoma.
Pia soma - Mwalimu...
Mcheshi Eric Omondi amekamatwa akiongoza maandamano nje ya majengo ya Bunge jijini Nairobi.
Omondi alikuwa akiongoza kundi la vijana waliojengeka vizuri, watanashati katika maandamano, ambapo waliitaka Serikali kushusha gharama za maisha.
Vijana waliovalia kaptura nyeusi na vifua wazi walikuwa...
Umauzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi #HamadMasauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigomanya na Ofisa Upelelezi Wilaya ya Kilombero, SP Daud Mshana.
Sababu zilizotajwa ni malalamiko ya Wananchi kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Viongozi hao ambapo Waziri...
JESHI la Polisi Mkoani Arusha limewafukuza kazi askari wake sita katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya jeshi hilo.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake jana,bila kuwataja majina ya askari hao, Kamanda wa polisi mkoani...
Adui zetu wakubwa barabarani sio Polisi bali ni Madereva wenzetu.
Kusema kweli adui zetu wakubwa barabarani ni madereva wenzetu kuliko hata hao Polisi tunaowaona maadui. Dereva anatumia nguvu nyingi kuchukua tahadhari dhidi ya Polisi kuliko hata dereva mwenzake. Kwa nini Polisi baadhi yetu...
Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam.
Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope KUWASHTAKI POLISI WANAPOKOSEA AU WANYANYASA. Yeye anaona deal ni kuwatania?
SIKU ZOTE NITALIA NA...
Uvamizi huo ni utekelezaji wa agizo la kuchukua Vifaa vya CCTV kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi kuhusu madai ya Matiang'i kuwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake na kundi la Askari wasio na Vibali.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa Kenya, Amin Mohamed...
Kufuatia kuripotiwa kwa tukio la Laurence Nicholaus Mwangake, Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Rohila, Mbalizi kulazwa Hospitali ya Ifisi tangu Februari 12, 2023 ikidaiwa amejeruhiwa kwa kipigo, watuhumiwa wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano.
Afisa...
Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu
----
Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.