Nigeria: Mahakama yatoa hukumu IGP kutupwa Jela miezi mitatu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa hukumu hiyo kwa kosa la kutotii amri ya Mahakama, uamuzi huo umetokana na kesi ya Afisa wa Polisi ambaye alifutwa kazi mwaka 1992, ambapo alipinga kustaafu kwake kwa kulazimishwa na kuachishwa kazi.

Mahakama imeamua Inspekta Jenerali Usman Alkali Baba kuwa anatakiwa kutumikia kifungo hicho isipokuwa kama atamrejesha kazini Afisa huyo wa polisi.

Msemaji wa Polisi, Olumuyiwa Adejobi amesema uamuzi huo ni wa kushangaza na kuwa Jeshi la Polisi linasoma hukumu ili kujua hatua za kuchukua.

=======

Nigeria police chief sentenced to three months in jail

The high court in Nigeria has sentenced the country's police chief to three months in prison for disobeying a court order.

The ruling followed a lawsuit by a police officer who was dismissed in 1992.

The officer challenged his forced retirement, and his dismissal was later quashed in court.

The court found that Inspector General Usman Alkali Baba should serve the three-month jail sentence, unless he reinstates the police officer.

So far the police force has failed to comply.

In a statement, police spokesman Olumuyiwa Adejobi described the decision as "astonishing".

He said the police force was studying the ruling to know what action to take.

“It is instructive to note that the case in point concerns an officer who was dismissed as far back as 1992, a few years after the current IGP joined the Nigeria Police Force,” Mr he said.

He added that “the most recent judgement on the matter was given in 2011 which should ordinarily not fall under the direct purview of the current administration of the force”.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom