polisi

  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mwizi avamia kwa ajuza wa miaka 82, bila kutarajia ajuza amshushia kipigo kizito, polisi wamuokoa

    Duniani kuna mambo. Rochester, New York Marekani, mwizi amevamia nyumba ya ajuza wa miaka 82 ambae alikua akiishi peke yake ili aibe ila mwizi alichokutana nacho hakukitegemea, ajuza amshushia kibano kizito, polisi wamemuokoa. Huyo mwizi alienda kwa gia ya kuomba msaada kua ana tatizo ajuza...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Magufuli amemsimamisha kazi kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga

    Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao na mkuu wa upelelezi mkoani humo, John Rwamulema kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba 23, 2019 na msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime inaeleza kuwa...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro mnatunga uongo kwa faida ya nani ?

    Kama chama kinachoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni kimoja hizo vurugu mnazotunga zitatokea wapi ? Tumieni njia za halali za kupanda vyeo lakini si kwa kuchafua wengine , mnatia aibu !
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Polisi Mkoa wa Songwe waendelea kuitumikia CCM

    Ikiwa Chadema imekwishatangaza kwamba haitashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa , unyama huu unaotendwa na RPC wa Songwe ni wa kazi gani , anataka kuteuliwa IGP ?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapatia jeshi la polisi jengo la ghorofa nne ilii wahamie Dodoma

    Hapa ndipo itakapokuwa makao mkuu ya jeshi la polisi Tanzania mkoani Dodoma.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa polisi wakati Mhe. Rais anapopita sehemu fulani

    Mhe. Rais ni raia namba moja katika nchi yetu ya Tanzania lazima apewe ulinzi na heshima yote pale anapopita. Juzi Mhe. Rais alikuwa na safari ya kwenda Dodoma lakini adha waliyopata wenye vyombo vya usafiri katika njia iendayo Dodoma ilikuwa ni adhabu tosha. Magari yalianza kusimamishwa tangu...
  7. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi nchini kutumika na CCM kuwabakiza madarakani ni uvunjifu wa Katiba ya nchi

    Tukiisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, inasema wajibu namba moja wa Jeshi letu nchini kuwa ni kuwalinda raia na mali zao Jeshi hilo halipaswi liwalinde watawala, bali linatakiwa litimize majukumu yake kwa weledi bila kupendelea upande wowote Sasa yanapotokea...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, nikichora katuni ya kiongozi mmoja duniani akiweka kipaza sauti ( Microphone ) Masikioni huku anaongea na simu nitaitwa Polisi?

    Moja ya Kazi yangu nyingine ni ya ‘ Ukomedi ‘ lakini ambao unawasilisha jambo fulani mtambuka ( lililotokea punde ) nikiwa na nia ya Kuwaburudisha Wasomaji wangu lakini pia Kuwaonyesha Wahusika kwamba walikosea ili Siku zingine wasirejee hilo Kosa na mwisho ni kutoa Elimu kwa Watawala / Viongozi...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwanamke ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua na kumla nyama Mtoto wake

    Mwanamke mmoja anaejulikana kwa jina la Christina Mlelwa(38) mkazi wa Kijiji cha Mavanga kata ya Mavanga kitongoji Cha mji mwema wilayani Ludewa mkoa wa Njombe anashikilikiwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumchinja mwanae Joseph Gumbilo(4) mwenye ulemavu wa viungo na kumla nyama Awali...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

    iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini. Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa? Naomba kuwasilisha...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tajiri Panone mbaroni Moshi kwa kuuza oil feki

    Mfanyabiashara maarufu nchini aliyewekeza kwenye biashara ya kuuuza mafuta, Patrick Ngiloi ametiwa mbaroni na jehsi la polisi nchini akihusishwa na biashara chafu ya kuza oli feki. Ngiloi ambaye amejenga vituo vya mafuta kupitia kampuni yake ya PANONE vilivyoota kama uyoga kila kona sanjari na...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

    Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa... Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Uhuni wa CCM uchaguzi Serikali za Mitaa huu hapa

    MKAKATI WA MSIMAMIZI MSAIDIZI KUMHUJUMU MGOMBEA WA CHADEMA KITONGOJI CHA STOONI ULIANZISHWA MAPEMA. Mkakati wa Msimamizi Msaidizi wa Kijiji Cha Nyangoto Kata ya Matongo kuhusu uchaguzi kwenye kituo cha stooni ulianzishwa mapema. Kitongoji cha stooni kilichokuwa kinagombewa na mgombea wa...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Iraq: Polisi wawatishia Waandamanaji kwa kutumia Mbwa, Waandamanaji wajibu kwa kuleta Simba

    Tangu Oktoba 01, 2019 Wananchi wa Iraq walianza maandamano ya dhidi ya Wanasiasa wanaoongoza nchi hiyo wakiwashutumu kwa mfumo uliokithiri rushwa na utawala usiokidhi katika kuongoza nchi Taarifa zinadai kuwa siku za hivi karibuni, Polisi wanaopambana na Waandamanaji hao waliwatishia...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hai: Polisi watumika kukomoa raia, siasa zatajwa kuhusika

    Huyu mama ni miongoni mwa waathirika
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Polisi: Awamu ya 5 makosa ya unyang’anyi kwa kutumia silaha yamepungua kwa asilimia 54.2

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz ameelezea kuhusu hali ya usalama nchini kwa kipindi cha mwaka 2015 hadi Septemba 2019 ikilinganishwa na mwaka 2011 hadi 2015. Amesema “Makosa makubwa ya Jinai yameshuka kwa asilimia 24.7. Makosa makubwa kwa mfano mauaji yameshuka...
  17. aka2030

    JamiiForums Tanzania Taratibu za jeshi la polisi zinaruhusu hii?

    Kuweka picha kwenye mitandao ya kijamii ukiwa umevaa kombati?
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro amtaka kijana anaitwa Shabani anaeonekana kwenye video akitishia mtu mwingine kwa bastola kujisalimisha polisi haraka sana

    ==== Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyefahamika kwa jina la Shaban anayeonekana kwenye kipande cha video akimtishia mwenzake kwa bastola kuripoti kituo cha polisi mara moja na kusalimisha silaha yake. Update 2. MTUHUMIWA AKAMATWA.
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

    Msanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16 UPDATE: Polisi wameelekea...
  20. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Jambazi sugu ajisalimisha kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa na risasi za Polisi

    Jambazi sugu aitwaye Ali Mtemi amejisalimisha katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa kuuwawa na Askari wa doria mara nne katika Wilaya ya Kigamboni huku baadhi ya wengine katika kikundi chake wakiuwawa na kukamatwa. Polisi wamekuwa wakimsaka kwa muda mrefu ambapo amekuwa...
Back
Top Bottom