Songwe: Polisi wa Usalama barabarani lawamani kwa kunyamazia uvunjifu wa sheria za barabara unaofanywa na ccm

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
78,047
2,000
Hii ni baada ya kuruhusu magari ya mizigo yasiyo na ubora kusafirisha abiria kutoka wilaya na mikoa ya mbali ili kujaza uwanja wa mkutano .

FB_IMG_1601556162082.jpg
FB_IMG_1601556152898.jpg
FB_IMG_1601556145399.jpg
FB_IMG_1601556138061.jpg


Hali hii ikiachwa iendelee kwa sababu tu za kisiasa itakuja kuleta maafa makubwa .
 

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
2,177
2,000
Hao ni mchangayiko wa ng'ombe, wenye mikia mirefu na waliokatwa mikia, hata wakimwagwa hakuna hasara ndio maana wanaachiwa
 

UCD

JF-Expert Member
Aug 17, 2012
7,673
2,000

mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
1,717
2,000
Hii ni baada ya kuruhusu magari ya mizigo yasiyo na ubora kusafirisha abiria kutoka wilaya na mikoa ya mbali ili kujaza uwanja wa mkutano .

View attachment 1587057 View attachment 1587058 View attachment 1587059 View attachment 1587060

Hali hii ikiachwa iendelee kwa sababu tu za kisiasa itakuja kuleta maafa makubwa .
Kama hawa nao ndiyo wale wenye kuijaza mikutano ya kampeni za CCM na kushangilia juu ya maendeleo ya vitu yanahubiriwa na viongozi wao wapendwa, basi kuna tatizo tena kubwa sana akilini mwao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom