Baada ya show kuisha waondoka kimya kimya polisi wawazuia wasiondoke

1601473290706.png

1601473323672.png
 
Huyo askofu nimemkubali kweli Mimi mwenyewe nilikuwa najiuliza hivi miujiza ya zamani kwenye maandiko ilikuwa ni uongo? Mbona Sasa siioni kwa ukubwa uleule? Ila Sasa naamini ni kweli ilikuwa inatendeka kwa ukubwa huu wa muujiza wa Mungu kumponya mtu kwenye risasi 16.
 
Yalikuwa mazingaombwe tu,na utapeli.wa zama.hizo
 
Huyo askofu nimemkubali kweli Mimi mwenyewe nilikuwa najiuliza hivi miujiza ya zamani kwenye maandiko ilikuwa ni uongo? Mbona Sasa siioni kwa ukubwa uleule? Ila Sasa naamini ni kweli ilikuwa inatendeka kwa ukubwa huu wa muujiza wa Mungu kumponya mtu kwenye risasi 16.
Wacha kufikiri huo ni muujiza - risasi za ndege haziui! Zinakujeruhi hasa zikipigwa on close range kama zilivyokuwa kwa Lissu. Hao ndio CHADEMA na picha zao kama ile ya "Faru John"!
 
Hii imetokea hata Iringa watu baad ya Fiesta kuisha kila mtu anatoka huku Mzee baba akiongea
 
Tena usiombe ukaingia kwenye mikutano ambayo ipo ndani ya uzio halafu kuna geti .hapo hutoki mpaka mkutano uishe polisi lazima wakuzuie kutoka.
 
Wasiwasi wako kwenye nini labda,jinsi anavyo post,mwandiko,ama mada zake za sasa jinsi zilivyo?
Mada zake kiukweli za hovyo sana siku hizi! Anapost uongo na taarabu nyingi siku hizi! Then anashabikia vitu ambavyo mtu ukiwa na akili unaona ni kama immature posts hivi! Hivyo ndo nilivyoona kwa upande wangu
 
Back
Top Bottom