polisi

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi iepuke kabisa kuwa Polisi ya USA dhidi George Floyd!

    USA ubaguzi wa rangi na matendo ya kinyanyasaji yalizidi sana. Mpaka leo bado kuna Miji inatangaza maandamano. Nimeona waandamanaji wanaokuwa tayari kugongwa hata na magari ili wafe kwa ajili ya uchungu wa manyanyaso hadi kifo ya mpendwa wao George Floyd. CCM yangu inaingia kwenye Uchaguzi...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Jimbo la Florida US wawapigia magoti waandamanaji, Polisi Tanzania ina la kujifunza

    Police wa Jimbo la Florida nchini US wameweka silaha zao chini na wakapiga magoti mbele ya waandamanaji kuwaomba msamaha, wamekubali kubeba lawama kwa kifo cha Floyd. Humanity restored.
  3. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisingizio cha CORONA: Mume alazwa na Jeneza lenye mwili wa mke wake nje ya kituo cha Polisi

    Katika Hali ya kustaajabisha, Polisi wa Kenya wamemlazimisha mtu anayesadikiwa kuwa na mume wa marehemu kulala nje ya kituo cha polisi na mwili wa Mke wake ukiwa kwenye jeneza. Tukio Hilo lilitokea baada ya Polisi kuzuia msafara wa mazishi uliokuwa unatokea Malindi. Mwanaume Huyo anasema '...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Nasubiri tamko la Wanademokrasia CHADEMA kulaani mauaji yaliyofanywa na Polisi wa Marekani

    Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani. CC: Mmawia
  5. J

    JamiiForums Tanzania Makamanda nisaidieni: Hivi " Peoples power" ni lazima iendane na uporaji? Au ndio sababu Polisi huzuia maandamano yenu!

    Nguvu ya Umma au peoples power kinadharia hutumiwa sana na Chadema lakini waliwahi kuitumia kivitendo wakati fulani tukashuhudia kifo cha binti asiye na hatia. Ninafuatilia kinachoendelea Marekani kupitia luninga ya Al-Jazeera kiukweli sijaelewa kama hii ndio nguvu ya Umma wanayoiamini...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomfurusha Mwita Waitara akamatwa na polisi

    RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara. RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa taarifa juu ya dhuluma ya vitambulisho Zanzibar akamatwa na Polisi

    ZANZIBAR: ALIYELALAMIKIA ZOEZI LA VITAMBULISHO AKAMATWA NA POLISI Mkazi wa Jundamiti Kiwani Kisiwani Pemba, Abdalla Khamis Muhammed (Tuba) anashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kusini Pemba kwa madai ya kufanya uchochezi baada ya kudai kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi. Mohammed ni miongoni mwa...
  8. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Marekani: Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Derek Chauvin ashitakiwa kwa mauaji ya George Floyd. Mkewe ataka talaka

    Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema. Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tujuzane; Ni mkwara gani uliwahi kupigwa ukiwa kwenye 18 za polisi

    mliowahi kuingia kwenye kumi na name za polisi; Ni mkwara gani mkubwa mliwahi kukutana nao kutoka mikononi mwa hawa jamaa? Tujuzane!!
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kumuua mtoto wake na kumzika

    MKAZI wa Kijiji cha Sekedidi, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, Lucia Mahazi (42), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kiume wa siku mbili na kisha kumzika, kwa madai ya kutelekezwa na mwanamume aliyempa ujauzito. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Minneapolis: Vurugu zatawala katika siku ya pili ya maandamano kupinga kifo cha mtu mweusi alieyeuawa na Polisi

    Idara ya Haki ya Marekani imesema imeupa kipaumbele cha kwanza uchunguzi wa Polisi kuhusika na kifo cha George Floyd huku maandamano ya vurugu yakiingia siku ya 2 Idara hiyo imesema Waendesha Mashtaka Waandamizi na Wapelelezi kutoka FBI (Federal Bureau of Investigation) wanachunguza kuangalia...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

    Jeshi la Polisi limesema linaendelea kumshikilia Idris Sultan aliyekamatwa Jumanne iliyopita akihusishwa na tuhuma za makosa ya kimtandao likiwemo la kujaribu kuharibu ushahidi. Mchekeshaji huyo alikamatwa na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar ambako alihojiwa kwa kutuhuma...
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania Familia za watuhumiwa ni sababu kubwa ya watu kushikiliwa na Polisi bila dhamana

    Sijui wangapi mna ‘personal experiences’ za kushikiliwa na Polisi kwa kosa lolote lile. Ni kweli Watanzania wengi ni wanyonge sana hasa wanapokuwa mbele ya dola. Hata wenye hela huwa ghafla wanageuka wanyonge hata haki zao zinapogandamizwa. Kwa mazingira na mazoea ya Kitanzania, bado wengi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi hawapewi kazi za utendaji kama Wanajeshi

    Kitu kinanishangaza kwanini Polisi hasa wastaafu hawahusiswi sana na shughuli za kisiasa kama wastaafu wanajeshi. Wanajeshi wanachaguliwa kama mabalozi, wakuu wa mikoa na kwenye bodi tofauti lakini polisi ni wachache. Polisi wana uzoefu mkubwa sana na wananchi lakini nashangaa kuona hawatumiki.
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku mikusanyiko kwenye sikukuu ya Eid

    Jeshi la polisi limesema kuwa sikukuu ya Eid el Fitri itasherehekewa huku dunia ikiwa imekumbwa na ugonjwa wa Corona, hivyo wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Msemji wa jeshi la polisi, David Misime imeeleza kuwa jeshi polisi linatoa wito na...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

    Mchekeshaji huyo mwenye miaka 27 anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar na anahojiwa katika Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni Anashikiliwa baada ya kuwasili Kituoni hapo kufuatia wito wa Polisi na inadaiwa atahamishiwa Polisi Makao Makuu Oktoba 2019, alikamatwa kwa kuhariri...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mchome Mwenyekiti wa Bavicha Kilimanjaro aliyesafirishwa kuelekea Dar es salaam, Hayupo kwenye vituo vya Polisi , yuko wapi au gari bado haijafika ?

    Gari iliyombeba imetajwa kufahamika kwa namba za usajili za T 363 CDU
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi yakamata magari 6, ofisa usalama ‘feki’

    JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia Shaban Wisandala (32), mkazi wa Medeli jijini Dodoma, kwa kujifanya ofisa usalama wa taifa, pamoja na magari sita yaliyokamatwa kutokana na kusadikiwa kuwa ni ya wizi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Dodoma...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro aliyeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Moshi asafirishwa kuelekea Dar es Salaam

  20. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania 2002 niliopokelea mwaka huu nikiwa Selo ya polisi

    Huu mwaka niliingia Lupango kwa mara ya kwanza, Stori ipo hivi, Disemba 2001 nimefunga shule A-level nikatua Dar, nikaona kukaa home kipindi cha sikukuu dingi alikua anabana saana, yaani kutoka kwenda kokote mwisho saa3 usiku uwe home si unajua wajeda tena? Kwa hiyo nikaenda kwa Anko angu...
Back
Top Bottom