Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Uchaguzi huru na wa haki unaanzia kipindi cha kampeni, lakini tunaona uoendeleo wa wazi kwa CCM.
Mgombea wake Magufuli kila anapopita anaomba kura kwa vitisho lakini hakuna anayehoji iwe ni NEC ama Polisi.
CCM imeshirikiana na vyama vingine lakini hakuna aliyewakemea ila ikitokea upinzani wakashirikiana basi inakuwa nongwa.
Anasimama njiani kuhutubia na kuomba kura kwa wananchi lakini hakuna anayesema
Lakini ikitokea kwa upinzani, basi polisi, masjili pamoja na NEC lazima wakinukishe.