polisi

  1. Polisi Dar wadai kuua majambazi

    JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limedai kuwa limeua watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, na kukamata silaha moja aina ya bastola Jeshi hilo limesema kwamba bastola hiyo imefutwa namba na ilikuwa na magazine iliyokuwa na risasi moja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa...
  2. Nalipongeza jeshi la polisi mkoa mjini magharibi Unguja.

    Natoa pongezi kwa RPC wa mkoa mjini magharibi unguja kwa kufanya kazi kwa weledi na kumfukuza kazi askari ambaye alimkamata mtuhumiwa na kumpeleka kwa wananchi wenye hasira na kisha kumuua mtuhumiwa. Imekuwa ni tabia mbaya sana wananchi wamekuwa wanachukua sheria mkononi na kuua watuhumiwa bila...
  3. F

    Ukitaka polisi waje mtaani kwako haraka kama kuna tukio

    MKITAKA POLISI WAWAHI KWENYE TUKIO MTAANI AU KIJIJINI KWENU; WAAMBIENI CHADEMA HAWA HAPA WANATAKA KUFANYA MKUTANO TUKIO likitokea huku Mtaani kwetu Siku hizi, huwa hatupati shida kupata msaada wa haraka kutoka Polisi, ni fasta tu wanatia timu eneo husika. Wakishuka tu kwenye Gari wanaanza...
  4. Afisa wa Polisi aliyempa mtu asiye na makazi sandwich yenye kinyesi amerudishwa kazini

    Polisi ofisa katika jimbo la Texas aliyempa mtu asiye na makazi sanduwichi yenye kinyesi cha mbwa. Mahakama imeharisha arudishwe kazini kutokana na mapungufu ya sheria! ===== Police officer gets away with ‘giving homeless man poop sandwich’ A police officer who was fired after he allegedly...
  5. Pemba: Viongozi wa ACT, Maalim Seif na Salim Bimani waitwa Polisi. Washutumiwa kufanya mkutano bila kibali, waachiwa kwa dhamana

    Mshauri mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad na Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi na Uenezi wa ACT Wazalendo Salim Bimani wameripoti katika Kituo cha Polisi Wete Pemba asubuhi ya leo. Viongozi hao wa ACT Wazalendo wameitwa na Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (RCO) Mkoa wa Kaskazini...
  6. Msaada wa kisheria: Je, jukumu la kumtunza/kumlisha mtu aliye Lumande ya Polisi ni nani?

    Je, jukumu la kumtunza/kumlisha mtu aliye rumande ya Polisi ni nani? Ni polisi, ndugu au walalamikaji? Ukiweka sheria na kifungu husika itapendeza zaidi. NB: Hapa namaanisha mtu aliye rumande miezi kadhaa na hajapelekwa mahakamani.
  7. Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

    Kikao cha Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania cha kujadili tuhuma zinazomkabili Meya wa jiji hilo, Isaya Mwita kimesimama kwa muda baada ya jina la mjumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) kusainiwa wakati hayupo ukumbini. Kikao hicho kinafanyikia ukumbi wa Karimejee jijini...
  8. Kitu gani kinakwamisha hawa waliotesa na kuua wasikamatwe?

    Hili jambo mimi linashangaza sana japokuwa mimi nina uelewa mdogo sana wa sheria. Mfano ibara ya 13(6) ya katiba ya Tanzania inazuia kutoa adhabu au mateso na manyanyaso kwa mtu yoyote yule. Ibara ya 14 ipo wazi kabisa kwamba kila mtu ana haki ya kuishi. Ibara ya 13 (b) inasema hamna mtu...
  9. Ofisa Polisi, Emmanuel Mkilia na wenzake 3 kortini kwa hasara milioni 798.7/-

    OFISA wa Jeshi la Polisi, Emmanuel Mkilia (44) na wafanyabiashara watatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka matatu ikiwemo ya kulisababishia jeshi hilo hasara ya zaidi ya Sh milioni 798.7. Washitakiwa wengine ni Donald Mhaiki (39) ambaye ni mtaalamu...
  10. Mbeya: Jeshi la Polisi lamkamata wakala wa bima ya GTM baada ya kukumta mihuri 56 ya kughushi ya idara za serikali na ofisi binafsi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries. Mtuhumiwa alikamatwa...
  11. Jaji Mkuu achukizwa na wapelelezi wanaokamata mtuhumiwa kabla ya kukamilisha upelelezi

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini kinachofanyika ni tofauti na kusababishia wafungwa kujaa magereza. Kiongozi huyo aliyasema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha mawakili alisema tangazo lilitolewa...
  12. Mahakama nchini Sudan imewahukumu Maafisa Usalama kifo kwa kumtesa na kumuua mwalimu

    Ahmad al-Khair, 36, alikufa wakati ameshikiliwa na maafisa hao baada ya kukamatwa wakati wa maandamano ya kumtoa Rais Omar al-Bashir madarakani. hii ni moja ya kuhumu za mwanzo kabisa kutolewa mara baada ya machafuko ya kuleta utawala wa demokrasia nchini Sudan. Hakimu anasema kuwa hukumu hizo...
  13. Polisi FFU wavamie na kupiga Wanaume wakorofi.

    Mwanaune yoyote akipiga Mwanamke FFU wavamie hiyo nyumba na na kumtandika huyo Mwanaume kulingana na majeraha aliyompa Mwanamke, kama kamvunja mkono, avunjwe pia, ...
  14. Polisi: Mmiliki wa shule ZamZam amefariki kwa matatizo ya moyo, hakuna viashiria vya mauaji. Familia yatofautiana na Polisi

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa kufeli kwa moyo na kukosa msaada wa haraka wa matibabu, ndiyo chanzo cha kifo cha Sheikh Rashid Bura, ambaye ni mmiliki wa shule za Zamzam mkoani humo. Kamanda Muroto amebainisha hayo leo Disemba 27, 2019, na kusema kuwa mara baada...
  15. Mamlaka ya polisi nchini Scotland yaruhusu vazi la hijab kwa askari wake

    #HABARI Mamlaka ya Polisi nchini Scotland limeadhinisha vazi la hijab kuwa moja ya vazi rasmi kwa askari wake ili kuwavutia wanawake wengi wa Kiislam ambao hawaipi kipaumbele kikubwa kazi hiyo waweze kujiunga. Chanzo: East Africa TV (Facebook)
  16. Kwa hili tukio polisi Mwanza wanapeleleza nini?

    Tukio lilitokea tarehe 26/10/2019. Watuhumiwa walikamatwa na kupelekwa ofisi ya kata ya Kahama Ilemela Mwanza. Watuhumiwa waliteswa na kupigwa na mwanajeshi akishirikana na Migambo wa mtendaji wa kata. Mtendaji wa kata alikuwepo na mwenyekiti alikuwepo. Wananchi walijazana hapo kwenye ofisi ya...
  17. Mwanasheria Tito Magoti wa LHRC achukuliwa na watu wasiojulikana; Polisi wasema wanamhoji na wenzake 3

    Tito ambaye ni Mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) inadaiwa ametekwa maeneo ya Mwenge, Jijini Dar Yaelezwa amechukuliwa na watu 5 waliovalia kiraia ambao walimfunga pingu kabla ya kuondoka naye Watu hao walikuwa kwenye gari aina ya Harrier. Taarifa za awali kuhusu...
  18. B

    Dar - Ngara na adha za polisi njiani

    Hatimaye nimetinga makwetu Ngara Kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka. Safari yangu Toka Dar Kwa basi kama ilivyo Kwa miaka mingine hadi makwetu haikupungukiwa vimbembe, vibweka, udhalimu, manyanyaso, adha, na yote ya aina hiyo tokea kwa hawa mabwana: polisi ambao haijulikani kwa uhakika haki ya...
  19. S

    Polisi Kinondoni wasema hawana taarifa za mwandishi Bolleni Ngeti

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mussa Taibu amesema kuwa hana taarifa za kutekwa kwa Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Bollen Ngeti, anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mchana wa leo Disemba 23, 2019, maeneo ya Msasani Jijini Dar es Salaam. Chanzo: Ukurasa wa twitter wa East Africa...
  20. Polisi wabadili gia angani, Wanadai hawajui alipo Mfanyakazi wa LHRC Tito Magoti

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni asema hana taarifa za kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanaharakati,Tito Magoti Mussa Taibu amesema kuwa mpaka sasa hana taarifa ya kukamatwa kwa Ofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu [LHRC] Tito Magoti, katika eneo la himaya yake na hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…