Polisi FFU wavamie na kupiga Wanaume wakorofi.

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Mwanaune yoyote akipiga Mwanamke FFU wavamie hiyo nyumba na na kumtandika huyo Mwanaume kulingana na majeraha aliyompa Mwanamke, kama kamvunja mkono, avunjwe pia, ...
 
UVCCM huwa mna akili mbofu-mbofu.
 
Hizi ndio sababu za mimi kukwambia kuwa nitakua sikushangai ukitoa post zako baada ya kuniambia kuwa wewe ni #mgogo
Mwanaune yoyote akipiga Mwanamke FFU wavamie hiyo nyumba na na kumtandika huyo Mwanaume kulingana na majeraha aliyompa Mwanamke, kama kamvunja mkono, avunjwe pia, ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaune yoyote akipiga Mwanamke FFU wavamie hiyo nyumba na na kumtandika huyo Mwanaume kulingana na majeraha aliyompa Mwanamke, kama kamvunja mkono, avunjwe pia, ...
Good, na sio tu FFU hata wewe raia ukiona dume zima lenye midevu yake na misuli linanyanyua kono lake kumpiga mwanamke, unapaswa kuchukua nyundo na kumbonda kwenye kiganja chake.
 
Back
Top Bottom