Ukitaka polisi waje mtaani kwako haraka kama kuna tukio

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,801
18,527
MKITAKA POLISI WAWAHI KWENYE TUKIO MTAANI AU KIJIJINI KWENU; WAAMBIENI CHADEMA HAWA HAPA WANATAKA KUFANYA MKUTANO

TUKIO likitokea huku Mtaani kwetu Siku hizi, huwa hatupati shida kupata msaada wa haraka kutoka Polisi, ni fasta tu wanatia timu eneo husika. Wakishuka tu kwenye Gari wanaanza kuuliza, CHADEMA wako wapi?

Wakishafika karibu yetu, ndipo tunawaeleza aina ya tukio kama ni Uvamizi, Moto, Ajali ama tukio lililotokea kwa wakati huo.

Zamani ilikuwa tukipiga simu Polisi kutafuta msaada wa haraka wanajibu kwamba, wana Mafuta kidogo sana kwenye Gari ama hawana Askari wa kutosha Kituoni kwao.

Siku hizi ukisema tu; CHADEMA hawa hapa wanataka kuhutubia Mkutano jukwaani na tayari Wananchi wameshajaa, Polisi hawa hapa ndani ya Difenda huku wakiwa na silaha nzito nzito na Mabomu kibao.

Siku hizi raha sana!
 
Hii habari imenichekesha sana. Siku moja mwanasiasa mmoja alikwenda kununua kiwanja mahali hapa Iringa Manispaa. Baada ya manunuzi yule mwanasiasa akanunua soda na kuanza kunywa na wote waliohusika na mchakato ule, walikuwa watu kama 11 hivi.

Ghafla Difenda ya Polisi hiyo hapo. Wanashuka na mabomu yao watu wanawashangaa, kumbe waliambiwa na wana CCM kuwa kuna maandamano yanatayarishwa!!
 
Jiwe ameweka ajenda ya Chadema juu sana sijaona mtu mwoga wa upinzani kama huyu.
 
MKITAKA POLISI WAWAHI KWENYE TUKIO MTAANI AU KIJIJINI KWENU; WAAMBIENI CHADEMA HAWA HAPA WANATAKA KUFANYA MKUTANO

TUKIO likitokea huku Mtaani kwetu Siku hizi, huwa hatupati shida kupata msaada wa haraka kutoka Polisi, ni fasta tu wanatia timu eneo husika. Wakishuka tu kwenye Gari wanaanza kuuliza, CHADEMA wako wapi?

Wakishafika karibu yetu, ndipo tunawaeleza aina ya tukio kama ni Uvamizi, Moto, Ajali ama tukio lililotokea kwa wakati huo.

Zamani ilikuwa tukipiga simu Polisi kutafuta msaada wa haraka wanajibu kwamba, wana Mafuta kidogo sana kwenye Gari ama hawana Askari wa kutosha Kituoni kwao.

Siku hizi ukisema tu; CHADEMA hawa hapa wanataka kuhutubia Mkutano jukwaani na tayari Wananchi wameshajaa, Polisi hawa hapa ndani ya Difenda huku wakiwa na silaha nzito nzito na Mabomu kibao.

Siku hizi raha sana!
Ukweli mtupu !
 
Au wambie polisi kwamba viongozi wa CHADEMA wanapanga kuvunja ofisi ya tawi la CCM hapa mtaani. Hiyo mzee hata sekunde haishi watakuwa wamefika. Lakini uwambie sijui wezi wanavunja nyumba utasikia hapa kituoni hakuna askari jitihidi upate msaada hata kwa mgambo waliojirani.
 
unachekesha we jamaa

Back
Top Bottom