Tetesi: Hassan Elias Masala aliyeshinda kura za maoni na kukatwa Nachingwea mikononi Mwa Polisi

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
3,041
2,422
Heshima kwenu.

Huyu jamaa yupo kituo cha polisi toka 10:30 jioni .

Kosa au maelezo anayochukuliwa ni la kutotimiza ahadi ya Bajaji kwa kwa Mzee Kambanga, ambaye alipata ajali na kukatwa Mguu 2015 akiwa anashangilia ushindi wa masala 2015.

Mzee Kambanga alipata ajali wakati akiwa anashangilia kushinda kwa ubunge mwaka 2015, baada ya ajali mzee Kambanga alikatwa mguu.

Ahadi hiyo ya massala kushindwa kumnunulia bajaji haikutekelezwa na ndio imekuwa msingi wa harassment yake in relation ya yeye kuhamia ACT WAZALENDO

Wanafanya delay tact, mwanzo kakataliwa kuchukua fomu ya ACT wazalendo.

Swali ahadi ya 2015 mpaka leo ndio anashikiliwa BANGO. Huu ndio mwanzo petty politics za BONGO.

Ndimi UKANA SHILUNGO.

YTK pub NACHINGWEA. 😅😅😅😂😂
 
Hawa ndio wale ccm waliokua wanawaona wapinzani sio wananchi wenzao, sio watu kamili... wakawa wanaunga mkono kudhalilishwa, kudhulumiwa na kutendewa visivyo. Leo yanawakuta na wao.

Usitege mimba ndugu yangu..utachomwa mwenyewe.
 
huyu mwamba tunafahamiana vizuri tu tangu akiwa mwalimu wa primary,atulie aache papara ana safari ndefu sana ya kisiasa.
 
Kusini kumekucha. Mtutura Abdallah Mtutura wa Tunduru Kusini na yeye kaihama ccm kaingia ACT.
 
Back
Top Bottom