Mikese na Askari polisi: Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili

bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,781
2,301
Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili.

Tukio lilianzaje?
Basi lilikuwa likiondoka Morogoro mida ya saa 10 jioni limeongozana na Al Sayeed. Dereva wa Al Sayeed na Sauli wote walifanya makosa waka - overtake eneo hilo. Bahati nzuri wa Al Sayeed hakusimamishwa ila wa Sauli akanasa.

Kilichofuata Dereva wa Sauli akajieleza. Akaambiwa ageuze gari. Akageuza, yule askari wa kike akamchapa makofi.

Wananchi waliojaa pale wakazomea. Alikuwepo askari wa kiume akaruhusu gari. Dereva wa Sauli akawa analalamika baadae akaondoka.

Kufika Mikese basi likasimamishwa kwa masaa 2 kwa ajili ya kuchukua maelezo.

Swali:
- Kwenye basi kuna madereva wawili, kwanini wasimamishe basi muda huo au kuwatafutia abiria usafiri mbadala?

- Kwenye safari kuna watoto wadogo na wagonjwa. Kwanini akili ndogo tu zisitumike?
 
juzi nimefuatilia Kipindi Maalumu ITV kuhusu usafiri wa mabasi kuna ujinga mwingi unafanywa na kampuni ya Sauli na hata huyo Alsaedy kwa route ya Mbeya.

Hao jamaa wapewe onyo na adhabu kali, otherwise wataua watu siku si nyingi
 
Kinachowaponza Sauli jina lao limechafuka kuhusu mwendo, lakini mabasi ya Mbeya mengi nikukimbizana tu! Kuna Alsaed na imani na kilimanjaro na goden dia.
 
Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili.

Tukio lilianzaje?
Basi lilikuwa likiondoka Morogoro mida ya saa 10 jioni limeongozana na Al Sayeed. Dereva wa Al Sayeed na Sauli wote walifanya makosa waka - overtake eneo hilo. Bahati nzuri wa Al Sayeed hakusimamishwa ila wa Sauli akanasa.

Kilichofuata Dereva wa Sauli akajieleza. Akaambiwa ageuze gari. Akageuza, yule askari wa kike akamchapa makofi.

Wananchi waliojaa pale wakazomea. Alikuwepo askari wa kiume akaruhusu gari. Dereva wa Sauli akawa analalamika baadae akaondoka.

Kufika Mikese basi likasimamishwa kwa masaa 2 kwa ajili ya kuchukua maelezo.

Swali:
- Kwenye basi kuna madereva wawili, kwanini wasimamishe basi muda huo au kuwatafutia abiria usafiri mbadala?

- Kwenye safari kuna watoto wadogo na wagonjwa. Kwanini akili ndogo tu zisitumike?
Umetumia akili ndogo kutoa taarifa, kesho tumia kubwa
 
juzi nimefuatilia Kipindi Maalumu ITV kuhusu usafiri wa mabasi kuna ujinga mwingi unafanywa na kampuni ya Sauli na hata huyo Alsaedy kwa route ya Mbeya.

Hao jamaa wapewe onyo na adhabu kali, otherwise wataua watu siku si nyingi
Abiria sisi ndi tatizo,tunawasifia kwa mambio yao..
 
Polisi wanawalinda wananchi msipate ajali mkafa.. mlivyo wajinga mnazomea polisi

Askari wa usalama barabarani jukumu lake ni kulinda usalama wa raia na mali zao wakiwa barabarani..

Sasa dereva anacheza na roho za raia.. nyinyi raia mnamzomea askari
 
Mtoa mada, kuover take kwa basi la abiria sehemu usiyoruhusiwa kuna tofauti gani na ‘attempted mass murder’? Tuanzie hapo kwanza halafu ndio tuone kama hayo masaa mawili ni mengi au la..
 
Hahaaa...... Sauli ameanza kuisoma namba baada ya kukatwa sio🤣🤣🤣🤣
 
Jamaa ni mjinga kweli hata mimi kanikera.. askari anawalinda abiria wawe salama.. wao wanamzomea askari walivyo wapuuzi
 
Askari anawasaidia halafu mnamzomea(japo kofi kavuka mipaka) ila mkipata ajali mtarudi kuwalaumu kuwa hawafanyi kazi. Ama kweli kumfidhisha binadamu ni kazi sana.
 
Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili.

Tukio lilianzaje?
Basi lilikuwa likiondoka Morogoro mida ya saa 10 jioni limeongozana na Al Sayeed. Dereva wa Al Sayeed na Sauli wote walifanya makosa waka - overtake eneo hilo. Bahati nzuri wa Al Sayeed hakusimamishwa ila wa Sauli akanasa.

Kilichofuata Dereva wa Sauli akajieleza. Akaambiwa ageuze gari. Akageuza, yule askari wa kike akamchapa makofi.

Wananchi waliojaa pale wakazomea. Alikuwepo askari wa kiume akaruhusu gari. Dereva wa Sauli akawa analalamika baadae akaondoka.

Kufika Mikese basi likasimamishwa kwa masaa 2 kwa ajili ya kuchukua maelezo.

Swali:
- Kwenye basi kuna madereva wawili, kwanini wasimamishe basi muda huo au kuwatafutia abiria usafiri mbadala?

- Kwenye safari kuna watoto wadogo na wagonjwa. Kwanini akili ndogo tu zisitumike?
Na dereva angepata ajali aue watu ungekuja na uzi wa kuwalaumu askari walikuwa wapi kuchukua hatua
 
  • Nzuri
Reactions: UCD
Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili.

Tukio lilianzaje?
Basi lilikuwa likiondoka Morogoro mida ya saa 10 jioni limeongozana na Al Sayeed. Dereva wa Al Sayeed na Sauli wote walifanya makosa waka - overtake eneo hilo. Bahati nzuri wa Al Sayeed hakusimamishwa ila wa Sauli akanasa.

Kilichofuata Dereva wa Sauli akajieleza. Akaambiwa ageuze gari. Akageuza, yule askari wa kike akamchapa makofi.

Wananchi waliojaa pale wakazomea. Alikuwepo askari wa kiume akaruhusu gari. Dereva wa Sauli akawa analalamika baadae akaondoka.

Kufika Mikese basi likasimamishwa kwa masaa 2 kwa ajili ya kuchukua maelezo.

Swali:
- Kwenye basi kuna madereva wawili, kwanini wasimamishe basi muda huo au kuwatafutia abiria usafiri mbadala?

- Kwenye safari kuna watoto wadogo na wagonjwa. Kwanini akili ndogo tu zisitumike?
Wewe huna maana kabisa!! Yaani askari polisi wanawasaidia nyinyi abiria msafiri salama halafu unaanza kuwalaumu tena hao wanaowasaidia?? Utakuwa huna akili timamu.
 
Hahaaa...... Sauli ameanza kuisoma namba baada ya kukatwa sio🤣🤣🤣🤣

Kwa hali hii ya kummilikisha huyo Mbunge aliyekatwa mabasi ya mchimbaji wa madini wa Chunya, kisa tu majina yao yanafanana, kuna siku utakuja kutuambia mabasi ya Rungwe Express mmiliki wake ni mzee wa ubwabwa Mh. Hashimu Rungwe!
 
Watu kutoka Mbeya wamefika Moro saa 10? Huko njiani si kulikuwa ni balaa?
 
juzi nimefuatilia Kipindi Maalumu ITV kuhusu usafiri wa mabasi kuna ujinga mwingi unafanywa na kampuni ya Sauli na hata huyo Alsaedy kwa route ya Mbeya.

Hao jamaa wapewe onyo na adhabu kali, otherwise wataua watu siku si nyingi
Miaka kama mitatu nyuma niliwahi safiri na Al Saedy. Nilisafiri kawaida sana sema pale Kitonga alishuka kama umeme.

Ila kwingine kote mambo yalikuwa kawaida sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom