Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Hivi Tz hatujifunzi tuu?? Maono ya wananchi huwezi kuyazuia kwa mabomu na mitutu!! Weka uwanja wazi watu washindane kwa hoja na wananchi waamue, vinginevyo ni kutafuta vurugu zisizo na maana!.

Hili vuguvugu la mabadiriko huwezi kulizuia kwa mitutu. Wenye mamlaka kuweni na busara!!
Mwaka huu inaitwa mwanakulitafuta mwanakulipata.
 
Hivi Tz hatujifunzi tuu?? Maono ya wananchi huwezi kuyazuia kwa mabomu na mitutu!! Weka uwanja wazi watu washindane kwa hoja na wananchi waamue, vinginevyo ni kutafuta vurugu zisizo na maana!!

Hili vuguvugu la mabadiriko huwezi kulizuia kwa mitutu. Wenye mamlaka kuweni na busara!!
Hata kama siyo raia wa TZ?
 
Back
Top Bottom