Marekani: Polisi waeleza kuisambaratisha birthday party ya Chris Brown kisa msongamano mkubwa wa magari

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
6,499
2,000
Unaijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa ikabidi majirani na watu wanaoishi ameneo karibu na Breezy waite polisi.

chris-brown-birthday-party-shut-down-tarzana-mansion-lapd-cops-r-1620320343892.jpeg


Ilianza kwa sauti kubwa kwanza ya muziki usiku kucha na majirani waliamua kusogea nyumbani kwa jamaa ili kuomba sauti ipunguzwe walifanya hivyo shida ilikuja kwenye foleni ya magari nje ya nyumba na ndani hasa pembezoni mwa barabara.
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
7,735
2,000
Baba anarudi asubuhi anakuta nyumba imeungua gari limetumbukizwa kwenye swimming pool dahila mzee peace sana yani hakumfanya chochote mwanae
Hahaha unaikumbuka eeh. Hahaha. Kibongo bongo mngegawana majengo ya Serikali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom