Jeshi la Polisi limeshindwa kuwakamata wavuta bangi uwanjani MECCO Kunduchi Mtongani

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
4,613
2,000
Vijana wanavuta bangi na kuiba majumbani kwa watu mitaani mchana kwenye.

Wapo Mecco Kunduchi. Jeshi la polisi limeshindwa kuwachukulia hatua na kuua kabsa maskani hii.

Polisi wakija doria nao wanavuta bangi pamoja nao.

Wananchi wanaumia wao wapo tu?

Kama hawa mateja wanawashinda majambazi mtaweza nyie?
 

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
4,597
2,000
Kama unajua wavuta bangi walipo ,ahilikiana na uongozi wa mtaa, Kijiji na kata ,muwakamate,ulinzi ni kazi yetu sote.
 

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,367
2,000
Halafu wezi wa mtongani kunduchi wanalindana sana kama ni mwenyeji akidakwa anapelekwa polisi Kama ni mgeni akidakwa wanauaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom