Huyu jamaa nimemsikia BBC ana pikipiki ya kuchaji. Zinapatikana madukani au ni ya kujiundia?
=====
Anthony Kapinga
Pikipiki ya Bw. Kapinga
Ifahamu pikipiki inayotumia umeme ambayo wengi wameiona kama rafiki mkubwa wa Mazingira kutokana na ukweli kwamba pikipiki hii haina mlio na haitoi...
Wakuu tuje kila mtu na Tafiti zake ili tupate mwanga na kumsaidia ambaye anaweza akahitaji kufanya biashara ya boda boda.
Ni Mkoa gani, Wilaya, Kata, Kijiji au sehem gani mtu unaweza ukawekeza kwa biasahra ya pikipiki ya Mkataba na ukapata pesa zako bila wasiwasi na usiwe na hofu ya kuibiwa...
BASHE AKABIDHI ZAHANATI, GARI YA KISASA YA WAGONJWA NA PIKIPIKI KATIKA KIJIJI CHA IDUDUMO
Nzega Mjini, TABORA.
Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amefanikiwa kukabidhi zahanati, Gari ya kisasa ya wagonjwa (ambulance) pamoja na usafiri aina ya pikipiki...
pikipiki chapa Gsm.
Full Docs.
cc 150, 5 gears.
Haina changamoto zozote ni kuwasha na kuamsha
Spea zake zinaingiliana na fekon, KiNGLION, San lg
ipo Dar. Mbagala Zakhem
Ndugu zangu,Mimi Ni kijana natafuta pikipiki ya hesabu ambapo nitakuwa naitumia kufanyia biashara ya boda boda na kumlipa mwenye Mali kutokana na makubaliano ya kiasi tutakachokubaliana...naomba ndugu zangu nisaidiwe kwa Hilo nitafanya kazi kwa uaminifu mkubwa mnoo na nitahakikisha naleta hesabu...
Kuna waendesha pikipiki wengi ikifika jioni/usiku huendesha pikipiki wakati wamesha taa kali sana. Wengine hubadilisha taa halisi na kuweka mwanga mkali sana kwa watumiaji wengine wa barabara
Huwa najiuliza:
Hivi hizi pikipiki hazina sehemu ya kupunguza mwanga wa taa?
Kimsingi ni hatari sana...
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa ajali hiyo imetokea jana Septemba 8, 2021 saa 3:20 usiku.
Amesema ajali hiyo imetokea katika barabara ya mwendokasi eneo la Lumumba kwenye taa za kuongozea magari.
Ameitaja pikipiki yenye namba za...
Pole na kazi wakuu!!
Mafundi naomba munisaidie nipo kijijini huku Nina pikipiki aina ya TVS changamoto yake Ni kwamba inasumbua kuwaka. (Napiga kiki mpaka nachoka)(Ukisukuma inawaka) hata ikiwaka ikikaa hata masaa mawilo ina Anza Tena kusumbua kuwaka!! Yaani mpaka iwake Ni changamoto.
Clatch...
Habari za leo wakuu,
Ninafikiria kati ya njia mbili za kusafiri, aidha kwa pikipiki au kuisafirisha chombo yangu used kwa malori ya mizigo. Kwa wale wenye uzoefu na route hii kwa pikipiki mnaweza kunipa muongozo wa sehemu za kupumzika, kufanya service nikiwa njiani, muda wa safari kwa...
WATENDAJI wa Kata 16 Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wamepatiwa pikipiki ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato, usimamizi wa miradi na kuhakikisha halmashauri hiyo inafikia lengo walilojiwekea kwenye ukusanyaji wa mapato na utoaji wa huduma kwa Wananchi.
Akiongea wakati wa ugawaji...
Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo.
Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi...
Katika tukio la kustaajabisha na kushangaza hadi kuacha watu midomo wazi askari wa usalama barabarani aliekuwa kasimana mita chache kutoka mataa Ubungo kama unaelekea barabara ya Mandela (geti la kwanza la kushoto songas) askari ambae alikuwa kasimama hapo akiongea na dereva wa kirikuu...
Boxer bm 150
namba B
iko vizuri na inatumika hadi sasa
engine haijawahi kushushwa
kadi yake ipo
biashara mnaandikishana mpaka kwa mwanasheria, polisi na serikali za mitaa
haijawahi piga boda boda (private use only)
𝐦𝐚𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐧𝐢𝐬𝐚
bei 750,000
dar es salaam.. 𝐭𝐞𝐠𝐞𝐭𝐚 𝐤𝐢𝐛𝐚𝐨𝐧𝐢...
Nawasalimu wanajamvi wote hapa javini,
Kwanza naomba nianze kwa kunukuu maneno ya waziri wa fedha Mr Mwigulu alietuambia watanzania kwamba,"kama mtu anataka kuhamia Burundi kwasababu ya tozo kwenye miamala na ahame".
Ndugu zangu leo nimelazimika kupoteza muda wangu ili mradi tu nikwepe kulipa...
Nawasalimia kwa jina la jamuhuri kazi iendele
Kwa kifupi naomba kufikisha ombi langu kwenu wakuu.
Mimi kama kijana natamani sana kujifunza ufundi hasa wa pikipiki na vingine pia kwan ufundi ni hazina kubwa sana kwa mtu kwan hatujue leo wala kesho yetu. Ombi langu kwenu kama nitapata...
Oparesheni kali iliyotangazwa dhidi ya majambazi, wanaotumia silaha na wahalifu wengine imefanikisha kupatikana kwa silaha mbili aina ya Bastola ambazo zote zilikuwa zikitumika kutendea vitendo vya kihalifu
Oparesheni hii inajumuisha vikosi vyote vya Jeshi la Polisi na matokeo yake yamezidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.