pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Dar: Baada ya agizo la Sirro, watu 41 wakamatwa kwa wizi wa pikipiki 21

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam limeendelea na operesheni kali dhidi ya vikundi mbalimbali vinavyojihusisha na uhalifu ikiwemo wizi wa Pikipiki, Bajaji na magari. Kutokana na oparesheni hiyo wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 41 katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Singida: Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu na kufyeka shamba lake la mahindi

    Kamanda wa Jeshi Ia Polisi mkoani Singida, Stella Rutabihirwa amethibitisha kushikiliwa kwa wanafunzi sita wa kidato cha tano na sita Mchepuo wa CBG, kutoka Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Manispaa ya Singida kwa tuhuma za kuchoma Pikipiki ya mwalimu wa shule hiyo na kuharibu mazao...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nadhani jeshi la polisi mnakosea kukamata Bajaji na pikipiki; hawa Watu wanatafuta riziki walishe familia mnapanda chuki

    Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki. Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Bodaboda mkaidi aponea chupuchupu barabara ya mwendokasi, pikipiki yashika moto

    Wanakatazwa kila siku, si polisi na hata Wizara na UDART. Leo bodaboda mkaidi kaingia njia ya mwendokasi na kuishia kugongwa na kuburuzwa hadi pikipiki ikawaka moto.
  6. MERCENARY2015

    JamiiForums Tanzania Ushauri biashara ya kuuza pikipiki

    Salamu wakuu. Natumaini mko wazima na Afya tele. Nilikuwa na wazo la kuanzisha biashara ya uuzaji wa PIKIPIKI Mfano: FEKON na BOXER. Nimekuwa nikinunua pikipiki tangu Mwaka jana kwa ajili ya kukodisha kwa MKATABA wa Mwaka mmoja. Nimekuwa nikiona wauzaji wanauza kwa haraka zaidi na kupata Faida...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

    Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda awataka DIT waanze kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki. Ameyasema hayo Januari 28, 2022 Jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo ili...
  9. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki inauzwa

    TVs star 125 no C ipo katika hali nzuri. Engine safi haijafunguliwa. Kadi halali IPO Bei:1050000 0624474871 IPO Mbagala
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki King Lion imetumika miezi 9 Mwanza Mjini

    INAUZWA 1.7mil... 0713096076 ipo IGOMA CC 150 GIA 5. HAIJAGUSWA POPOTE ENGINE NZIMA. KARIBU
  11. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Anaejua bei ya pikipiki TVS 125 anijuze.

    Habari wakuu Nahitaji kununua pikpiki aina ya TVS 125 kwa matumizi yangu binafsi. Anaejua bei yake kwa sasa anijuze tafadhali.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la pikipiki kuchelewa kuwaka

    Pikipiki aina ya Dayun. Betri mpya plug mpya. Lakini inachelewa kuwaka sometime napiga kick ndio I wake, tatizo linaweza kusababishwa na Nini wakuu?
  13. Kichaka12

    JamiiForums Tanzania Msaada: kesi ya ajali ya pikipiki

    Wakuu wanasheria natumaini mko poa. Nilinunua pikipiki juma tano na niliambiwa kuwa kadi haijafika tukapewa chases number tukarudi. Jumamosi nikiwa safarini nikaambiwa dogo amegonga mtu na huyu dogo hana lesen. Kachukuliwa yeye na pikipiki yeye aliwekwa mahabusu then kuna mtu kaenda kumuwekea...
  14. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki TVS no CQB inauzwa Mwanza Mjini

    TVS hio. Cc 150 gia 4. Imetumika mwaka mmoja. Full document. Bei 1.8 mil. Iko nyakato Mwanza Piga 0713096076 tuongee biashara achana na comments.
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi aliyeleta wazo la pikipiki kutumiwa kama usafiri kwa abiria

    Kwenye hili la boda boda naomba tutoe pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria. Ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseepo pongezi nyingi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki kijijini

    Wadau za jioni, Mimi ni kijana mwenye miaka 32, niko Kijijini. Nimemake kiasi cha Tsh. milioni 1 nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki huku huku kijijini ila sijui kama fedha hizo zitatosha kama mtaji wa kuanzia Nataka nianze na duka dogo tu Naombeni ushauri na wazoefu naombeni mwongozo
  17. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Miaka 24 still strong barabarani, Yamaha 4gl-90

    Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan. Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita...
  18. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Pikipiki bila vioo vya pembeni (side mirror) ni hatari kwa abiria!

    naona hili nalo ni tatizo!
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kulaza pikipiki sebuleni, ikishika moto ni hatari sana

    Tunashukuru sana kwamba hivi sasa bodaboda zimetengeneza ajira kwa vijana wetu wengi. Lakini jamani, tuwe makini sana sana na sehemu tunazolaza bodaboda hizo au pikipiki zetu baada ya shughuli zetu za kila siku. Moto wake ni hatari sana. Ni kama bomu! Ilitokea sehemu (singependa kuitaja)...
  20. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Kwa picha: Nauza babaywalker ya pikipiki

    Inakula mafuta kiduchu sana.Unaenda nayo popote kuanzia sokoni,kazini,kanisani hadi kwenye kula kitimoto. Inapita popote katika majira yote ya mwaka. Changamoto: Haina siti/kiti cha kuwapa watu lifti😁😁😁
Back
Top Bottom