Kumbukizi: Tutupie picha zilizosisimua uchaguzi 2015, haitatokea tena

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Nikisema nilikua mpizani kindaki ndaki watu mnaona masihara.

Kwanzia leo nitakuwa natupia picha mpaka kampeni ziishe

Hakuna sehem kulikua na mkutano maandamano nikaacha kwenda kwa hapa Dar. Ila Lowassa alituangusha sana mana tulikua tayari kwa lolote.

IMG_20200829_130115.jpg

Screenshot_20200829_125918.jpg

Screenshot_20200829_125859.jpg
Picha zote zilipigwa tarehe kama ya leo(📷 Google photos)

Kama una picha za chama chochote tupia tujikumbushe
 
Hakika ulikuwa uchaguzi mkuu ulokuwa wa ushindani usio kawaida tangu Uhuru kupatikana .

Hiyo ilidhihirishwa kupitia matokeo ya kura walizopata na % ya ushindi!
 
IMG-20151017-WA0061.jpg

IMG-20151017-WA0062.jpg

Hii ilikua Mwanza,wanabadiliko wakadai zimetengenezwa... Kesho naleta zingine sichagui chama
 
Back
Top Bottom