ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
3,067
2,000
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni? Kuna nini kinaendelea?

EhnfmhkWsAArQ_x.jpeg

EhnfmZYXYAAIm_H.jpeg

==
Picha zaidi:
EhnbwNzXgAg6kVZ.png
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,105
2,000
Kuna mawili:Membe atakuwa kamuunga mkono Lissu au kashindwa kuelewana na wenzake katika swala la kumuunga mkono Lissu iwapo kweli hakuwa tayari kufanya hivyo kama alivyosikika hivi karibuni, na sasa kaamua kuendelea na issue zake zingine.

Lakini,huenda kapata dharura hivyo tusimuhukumu moja kwa moja bali tujipe muda ingawa dharura hiyo haipaswi kufanywa siri kama kweli kapata dharura.
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,424
2,000
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?
View attachment 1565979
View attachment 1565980
Japokuwa ana hali ngumu kisiasa kupambana na Ccm. Lakini ni vyema ukathibitisha kama hizi picha ni za leo au jana.
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,133
2,000
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?
View attachment 1565979
View attachment 1565980
Labda ya Zamani hii.
 
Stan Mashamba

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
2,376
2,000
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?
View attachment 1565979
View attachment 1565980
Anajua anachofanya. Inawezekana ni mbinu za kisiasa.
 
Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,799
2,000
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?
View attachment 1565979
View attachment 1565980
Jasusi mbobezi aliyefeli kindezi😁 ila tukumbuke tu huyu ni ccm damu
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
15,791
2,000
Kuna mawili:Membe atakuwa kamuunga mkono Lissu au kashindwa kuelewana na wenzake katika swala la kumuunga mkono Lissu iwapo kweli hakuwa tayari kufanya hivyo kama alivyosikika hivi karibuni na sasa kaamua kuendelea na issue zake zingine.

Lakini,huenda kapata dharura hivyo tusimuhukumu moja kwa moja bali tujipe muda ingawa dharura hiyo haipaswi kufanywa siri kama kweli kapata dharura.
Salary slip unatamani sana Membe amuunge mkono Lisu lakini ndio hivyo ndoto yako haitokei!

Wakati wenzio wanamuona Membe ni mamluki wewe peke yako unatamani sana Membe aseme chochote.

Mmeshachelewa maana Membe lazima jina lake litakuwepo kwenye form
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,323
2,000
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?
View attachment 1565979
View attachment 1565980
Ataanza kampeni 15/09/2020
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,099
2,000
Jasusi mbobezi....
Lkn Lissu alisema yy sio mjinga na chama chake sio wajinga..... Nilimwelewa sana....

Kimsingi act mpinzani wa kweli ni Maalim Seif tu...... Hao wengine wana ndimi mbili mbili

Kama kweli anakacha kampeni ni pigo si tu kwa ACT Wazalendo, kama chama, bali kwa wagombea wote wa chama, akiwemo Maalim Seif. Laiti ACT Mzalendo ingemuunga Lissu mapema, ingekuwa bora na kueleweka kwa wapiga kura.

Sasa mimi naona ni chama cha wasaliti.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom