Hapa ndio unagundua wanasiasa wanatuona sisi ni Wehu sana hasa kipindi hiki cha wao kutaka "Kula"

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,358
2,000
20200903_204213.jpg
20200903_204209.jpg


Salma Kikwete akiwa katika harakati za kuigiza ili apewe "Kula" ni kwa nini wanasiasa wa Africa au Tanzania wanatuona sisi ni mafala sana? Wehu? Ni mambo haya kweli yanayotufanya tuwachague hawa wawe viongozi wetu?
 

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
14,729
2,000
familia ya JK kama huwajui utadhani wanaigiza,ila kwa mimi niyeona picha,video mbalimbali za hao watu toka miaka kama 7 nyuma najua hapo wapo real,ni watu down to the Earth Jk anaweza kupita sehemu kwa mguu akasalimia raia,akabeba watoto na akawapa pesa watoto na kukaa chini na wazee.
unajua tatizo ni sisi raia tunapenda kuwachukulia viongozi kwamba wanafaa kututenga.mi nakupa mfano kuna rais hapa Africa alikuwa anaingia bar anapiga bear na wananchi wake,anawatembelea anawauliza maisha yanawatendeaje nk
 

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
6,094
2,000
familia ya JK kama huwajui utadhani wanaigiza,ila kwa mimi niyeona picha,video mbalimbali za hao watu toka miaka kama 7 nyuma najua hapo wapo real,ni watu down to the hearth Jk anaweza kupita sehemu kwa mguu akasalimia raia,akabeba watoto na akawapa pesa watoto na kukaa chini na wazee.
unajua tatizo ni sisi raia tunapenda kuwachukulia viongozi kwamba wanafaa kututenga.mi nakupa mfano kuna rais hapa Africa alikuwa anaingia bar anapiga bear na wananchi wake,anawatembelea anawauliza maisha yanawatendeaje nk
hearth=Earth
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
6,332
2,000
Hiyo ndo inaitwa kampeni ya mtaa kwa mtaa, mtu kwa mtu,nyumba kwa nyumba.
wagombea wanawafata wapiga kura walipo mitaani,sio kubaki mitandaoni tu.
hapo ndo CCM wanapotoboa miaka yote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom