picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kuprint picha na kubandika kwenye photo frame za mbao

    Habari wakuu, Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani. Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio. Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Google Lens kutambua vitu

    Google Lens ni teknolojia ya kutambua vitu mbali mbali katika picha. Hii inahusisha maneno, tafsiri, wanyama, aina za matunda, aina za miti, picha zilizopo mtandaoni zinazofanana na picha yako, nk. Hii teknolojia ipo kwenye simu nyingi za Android kupitia Camera application, Google Photos app na...
  4. JamiiForums Tanzania Instagram yaongeza kipengele cha kuonesha picha ni halisi au imehaririwa

    Mtandao wa kijamii maarufu duniani kwa matumizi ya picha na video Instagram, yaongeza kipengele cha utambuzi picha endapo ni halisi au imehaririwa. Kipengele hiki kinaongezwa kuweka msukumo kwa watumiaji wachanga wa Instagram kuona si kila chenye kuonekana na mvuto ni halisi. Kipengele hiki...
  5. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza urembo safi wa nyumba kama inavyoonekana katika hizi picha

    Ni mtaalam wa finishing ya urembo wa nyumba tunapatikana kote Tanzania na Kenya. Njoo WhatsApp kwa namba hizi +254759792752 au+255719999526
  6. JamiiForums Tanzania Mpango wa kando wa zamani wa Aliko Dangote waweka mambo hadharani; kimada wa sasa akanusha

    Katika mambo yaliyotrend siku ya mwisho wa mwaka 2020 ni suala la mchepuko wa Mwafrika tajiri kuliko wote, Aliko Dangote kuweka hadharani mahusiano yao akidai moyo wake kuvunjwa katika vipande 1,000. Katika ukurasa wake, mwanadada wa kimarekani Bea Lewis ambaye ni mmiliki wa mgahawa, alieleza...
  7. JamiiForums Tanzania msaada: jinsi ya kupakua picha kutoka facebook

    Habari. Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar. Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze kupost kwingine Naomba msaada ni njia gani nitumie Shukran, Dalali Solo. 0744033555__ TABATA BIMA DAR
  8. JamiiForums Tanzania Picha wanazopenda kuangalia wanawake kwenye simu zao

    Wanawake bwana huwa ni viumbe wa aina yake kama mambo yao yalivyo tu. Unaweza mkuta katulia zake ukafikiri kuna jambo moja serious Sana analifanya kumbe, Ataperuze picha kulingana na tukio lililoko mbele yake au analolitamani litokee, 1. Kama ni mja mzito ; Atakua anaangalia vinguo vya...
  9. JamiiForums Tanzania Hebu pata picha ingekuwa wewe unaishi maisha wanayoishi hawa wenzetu wenye uhitaji maalumu

    Mungu atukuzwe kwa yote aliyoyaumba kwa kuwa hata vilivyo dhaifu huviimarisha kwa namna yake. Hebu mfano wewe uliye na kila kiungo mwilini vikiwa timilifu katika utendaji kazi; siku moja inatokea kubadilishana uzoefu na walionyimwa labda kuona au kusikia mfano; {mfano si kwa nia mbaya} -...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi wa vitu feki tulivyonunua. Tunataka wengine wasinunue. Tupia picha

    Habari wanajf. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia kuanika vitu feki. Karibu. Hivi karibuni nilinunua kimashine cha kukatia chips. Ni fake na hakifai
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

    Lengo la uzi huu ni kupeana changamoto na mikoa mingine ili muwe na hasira ya ku hustle zaidi. Oneni maendeleo ya makazi ya Kilimanjaro sio kwamba ni serikali imefanya! Ni nguvu za watu,ndio mana hakuna mchaga anaerudi kwao kizembe lazma awe na chochote kitu bila hivyo ni aibu. Sasa ili kutoa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

    Inakuwaje wanajamvi? Usiku wa kuamkia leo Sayari ya Jupiter na Saturn zitaonekana kwa macho ya kawaida. Mlioko nyumbani bongo ama Africa kwa jumla mna bahati kwasababu anga liko wazi sky is clear. Tokeni nje sasa hivi mpige picha hata na simu mshare. Huku Skendinevia tulipo hatuna iyo bahati...
  13. JamiiForums Tanzania Nawezaje kushtaki vyombo vya habari kwa kutumia picha yangu bila ridhaa yangu?

    Kuna picha huwa zinazagaa mtandaoni na zinatumiwa Sana na vyombo vya habari bila kuziba privacy ya muhusika..mfano Ni picha iloyozagaa kwenye vyombo vya habari hasa kipindi hichi Cha sikukuu. Picha hiyo inaonyesha mtu akipuliza kipimo Cha pombe kwenya habari iliyotolewa na jeshi la polisi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya fiqhi ya ibadah yenye picha zilizochorwa

    Ni mradi unaohusiana na kuwepesisha mafunzo ya hukumu mbali mbali ya Uislamu kwa lugha mbali mbali, kwa lengo la kueneza Uislamu ulio sahihi kwa waislamu. Mradi huu unajumuisha kitabu chenye picha kuhusu hukumu mbali mbali za Uislamu, ndani ya kitabu hiki kuna milango mitano nazo ni: a) Twahara...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenye Picha ya cheti cha Ndoa naomba a-share na sisi tafadhali

    Tunajua kuwa Ndoa ni mkataba, so nmeonelea ni vyema kuomba kujua mahudhui ya aina hii ya maktaba. Itapendeza zaidi kama vikipatikana tofauti tofauti yaani cha ⭕ Kikristo ⭕ Kiislamu ⭕ Kiserikali Kama vitakuwa vinatofautiana. Asante.
  16. JamiiForums Tanzania Picha ya Maradona huenda ikachapishwa kwenye pesa ya Argentina

    Seneta Norma Durango aliwasilisha muswada bungeni ili kumfanya kiungo huyo, ambaye alifariki wiki mbili zilizopita akiwa na umri wa miaka 60, kuwa kwenye noti ya 1,000 sawa na dola ($ 12, £ 9), noti ya juu zaidi. Noti hiyo itakuwa na uso wa Maradona upande mmoja na picha ya moja ya mabao yake...
  17. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka katika hii picha?

    Ukiangalia katika siasa zetu na mambo mengi hii nchi inayopitia nadhani hii picha inaweza kua na ujumbe ambao kila mtu anaweza kuutafasiri anavyoweza lakini CCM nadhani pia mnaweza jifunza kitu hapa
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mwanamke kupiga picha na rafiki wa mume na kuzitunza katika simu yake?

    Naomba msaada wa mawazo wakuu, Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo. Ni picha zaidi ya kumi, ila ajabu hana hata picha yangu kwenye simu yake. Hapa niko chumbani nazikagua na...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Picha zinazofundisha kutoka Mtandaoni

    Nikiwa katika mitandao ya kijamii nikakutana na Educational Instagram page ambapo nimeona picha/post kadhaa zinazofundisha na nimeona sio mbaya nikazi-share hapa. Source: @naismeal
  20. JamiiForums Tanzania PICHA: Kamati Kuu CHADEMA fukuzeni hao 19 kutoka chamani

    Picha inaongea mara elfu kuliko maneno maneno.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…