Instagram yaongeza kipengele cha kuonesha picha ni halisi au imehaririwa

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Mtandao wa kijamii maarufu duniani kwa matumizi ya picha na video Instagram, yaongeza kipengele cha utambuzi picha endapo ni halisi au imehaririwa. Kipengele hiki kinaongezwa kuweka msukumo kwa watumiaji wachanga wa Instagram kuona si kila chenye kuonekana na mvuto ni halisi. Kipengele hiki kimeanza kuonekana kwa baadhi ya watumiaji pembeni karibu na sehemu ya kuona tafsiri. Ukibofya kipengele hukupatia maelezo ya kihariri picha husika.

Screenshot_456.jpg


Screenshot_457.jpg

 
Hii mitandao siku moja malaika wangeifunga tu,watu wachape kazi.
 
Back
Top Bottom