PICHA: Kamati Kuu CHADEMA fukuzeni hao 19 kutoka chamani

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Picha inaongea mara elfu kuliko maneno maneno.

20201127_094104.jpg
 
Mbowe kakubali waende bungeni, huyu kidampa ni nani?
This is not new from MATAGA. Wewe na wenzio mlisema haya kabla ya uchaguzi:

1. Tundu Lissu hawezi kurejea Tz, atadakwa airport
2. Mbowe anamhitaji Nyarandu kwenye urais, siyo Tundu Lissu
3. Tundu Lissu ataenguliwa urais
4. Tundu Lissu atazomewa kwenye kampeni

Sasa mmeshaanza ya akina Halima!
 
Naunga mkono hoja ,

Ivi kikao SAA ngapi? Au kikao ni cha siri sio live?
 
Back
Top Bottom