Umejifunza nini kutoka katika hii picha?

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
518
901
Ukiangalia katika siasa zetu na mambo mengi hii nchi inayopitia nadhani hii picha inaweza kua na ujumbe ambao kila mtu anaweza kuutafasiri anavyoweza lakini CCM nadhani pia mnaweza jifunza kitu hapa

PSX_20201209_154530.jpg
 
Yani hapo wanazi wa vyama(especially Chadema) ndo kidole chenye kilemba..na kidole Cha mbele yake ndo uongozi wa chama(vyama) ambao sirikali unaishughulikia ili kuondoka upinzani...Sasa Kila wakipiga pigo..wanaoumia ni wanazi wa vyama...viongozi wa vyama husika wanakwepa na kurudi pale pale..
 
Dah!,kila ktu knaumuhimu,na ushirikiano ndo nguzo bora,hadi nmewaza sie tusiokuwa na wake pia inawezekana kutoboa ikawa ngumu
 
Katika jambo lolote tunahitaji challenge au upinzani ili tuweze kuendelea vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom