Picha za mambo ambayo kimsingi zinafikirisha sana

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,613
20,938
Huyu jamaa alikosea nini mpaka akawekewa grill namna hii

kaburi gereza.jpg
 
Huyu jamaa alikosea nini mpaka akawekewa grill namna hii
Kuna sehemu nilisoma zile enzi za tetesi za vampire na zombies sasa mtu kama alikuafa na alikua anahisiwa kuwa ni vampire au anakauhusiano flani hivi na mambo ya zombies alikua akifa kaburi lake linapigwa sealed za nondo kama hivyo ili akifufuka katika hali ya vampire basi asiweze kutoka
 
vampire is a sort of spirits anazuilika kwa grills
 
Ukitaka kuoa singo maza ndio uakikishe mumewe kafa na kazikwa kama hivyo

Na hizi grill uchomelee mwenyewe
 
Back
Top Bottom