picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Picha ya Mbunge wa Ngara Wananchi Wakana Kulazimishwa

    SAKATA LA PICHA YA MBUNGE WA NGARA WANANCHI WAKANA KULAZIMISHWA Wananchi na wakazi wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wamekanusha kulazimishwa kuweka picha ya Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ndaisaba Gerge Ruholo kwenye maeneo yao kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu picha za Mbunge wa Ngara zikiwekwa maofisini kama picha ya Rais

    Updates: Video imeambatanishwa . . . Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro anadaiwa kulazimisha picha zake zibandikwe maeneo yenye mkusanyiko wa watu ndani ya jimbo huku baadhi ya watu wakihoii kwa nini iwe lazima. Picha hizo zinaelezwa kubandikwa maeneo ambako kuna picha za Rais na sehemu...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Yanga: Mabango yenye picha ya Rais Samia yapuuzwa, yakanyagwa

    Pamoja na juhudi kubwa za Mamluki walioingilia mapokezi ya Yanga kuchomekea mabango yenye Picha za Samia Suluhu (Haifahamiki Malengo yao) lakini kutokana na Wingi wa Watu kwenye eneo la Uwanja wa ndege, mabango hayo yameishia kupuuzwa na kukanyagwa na wananchi waliojazana uwanjani hapo. Wala...
  4. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Hebu wataalamu tusaidie kusoma picha hii halafu tueleze umegundua changamoto gani?

    How many issues May you observe... Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi... akamwambia tu just ana mimba ya...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini ukikuta picha, video au jambo lako la aibu limevuja mtandaoni?

    Salaam ndugu zangu, Katika harakati zetu za maisha tunakutana na tunafanya mambo mengi sana. Kuna baadhi ya matukio tunayoyafanya tunatamani yajulikane na mengine tunatamani yabaki kuwa siri. Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa ni rahisi baadhi ya matukio yetu ya faragha kunaswa kwenye...
  6. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Picha: Zito na genge lake wanatumika kuyahujumu maono ya mwl Nyerere

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini. Nchini kwetu kuna vyama vingi vya siasa. Na kila chama kina lengo na nia ya kushika madaraka na kutuongoza kupitia sera za chama husika. Ingawa kila chama kina sera zake na maono yake...
  7. Zacht

    JamiiForums Tanzania Trend ya hizi picha zinafurahisha na kufikirisha "Her past matter"

    Huko tweeter Kuna meme imeenda sana viral ambayo inaonyesha wanaume wamejipanga mstari wa foleni wakiwa uchi na mmoja kati yao amevaa nguo huku kashika maua wakipata huduma ya mapenzi kwa mwanamke Maelezo ya picha Picha inakusudia kuonyesha maisha ya nyuma ya mwanamke kabla hajaolewa...
  8. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Picha: Kikosi cha Yanga kilichoichapa Simba 1-0 mwaka 1992, wakiwa na jezi kali tu

    Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika...
  9. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mtoto kuona picha ya baba yake alipokuwa mtoto?

    Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani. Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
  10. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Picha: Tukimtoa mzee Mwinyi, hawa ndio wazee wetu tuliobaki nao sasa hivi

    Ningependa pia kujua mzee Kenyata anamshinda Kikwete miaka mingapi?
  11. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza apple ipod?

    Wapi naweza kupata apple ipod mpya ya aina hii
  12. ChizzoDrama

    JamiiForums Tanzania Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

    Habari wadau wa JF! Naomba kuuliza kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya hili. Hivi tukifuta PICHA kwenye Simu huwa zinakwenda wapi? Kuna PRIVACY kweli kwenye vifaa hivi? Msaada kwa anajua
  13. R

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe very attentive, nani alikuwa anahutubia na issue gani?

    ANGALIA PICHA
  14. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Ipe maneno picha hii

  15. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Wenye picha za huko Rondo tunaomba mzitupie hapa tujifunze kitu

    Haya wale mliopo huko Rondo Chipota tunaomba mturushie picha za huko kijijini Rondo ili Watanzania wanyonge tuweze kujifunza kitu. Natanguliza shukrani zangu
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Cecilia Membe Kaolewa? Mwenye namba yake na Picha msaada tafadhali

    Nina shida nae Kubwa na Muhimu.
  17. I

    JamiiForums Tanzania Tucheze mchezo wa picha kwa kutumia movie ulizowahi kuona

    Hapo juu ni picha ila kuna vifaa au vitu flani ulishakiona katika movie, taja movie zote 25 au baadhi, mfano: hapo kuna SAW na Enter the dragon.... Tiririka👇
  18. Victoire

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mapovu yanayokuwa kwenye mimea mbalimbali porini au vichakani ni mate ya nyoka

    Tangu nikiwa mdogo nilisikia na kuamini kwamba ute/ mapovu yanayokuwa kwenye mimea ni mate ya nyoka. Mpaka kufika wakati huu bado sijajua kama suala hili lina ukweli ama la. Naomba wataalamu mnisaidie kujua uhalisia wa jambo hili Kielelezo 1: Picha ikionesha mmea umeachiwa mapovu Kielelezo...
Back
Top Bottom