Hii picha imebeba ujumbe mzito sana, Wewe umeielewaje?

Mcanada

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
982
1,906
Mimi nikiingiaga mtandaoni kilasiku huwa napenda sana kutazama picha mbalimbali zinazohusu sana asili ya kiuumbaji (Nature) ikiwemo picha za Miti, wanyama, watu, Miinuko ya ardhi, n.k) leo katika pita pita zangu za kutazama picha mtandaoni nimekutana na hii picha na hakika nimeitazama sanaaa, sijui kilichokuwa kinanifanya niitazame sana hii picha lakini kadiri nilivyokuwa naitazama kuna Jumbe mbalimbali zilizokuwa zikisikika kichwani mwangu nikizitafsiri sauti hizo na hali iliyopo sasa nchini Kenya binafsi hii picha imenitafakarisha sana sijui wewe utakayesoma uzi huu utakuwa umeielewaje unaweza kunipa tafsiri yako itapendeza sanaa..
Raila Sparks with Odinga.jpg
 
Sasa kuna kitu gani cha kutafakarisha hapo?
Mbona mnachukulia mchezo mchezo neno kutafakarisha?
Wewe sema picha inavutia au inapendeza
 
Kwa picha ilivyo na yanayojiri kwa Sasa hapo Kenya nikama Uhuru anasema hivi " Wacha niwa fitinishe hawa wamba ili nizidi kun'gara"
 
Rangi ya tai waliyovaa Uhuru na Ruto inaashiria Utawala na rangi ya tai aliyovaa Odinga ni ishara ya kujiamini. Pia inaonesha wao wanajua kinachoendelea Kenya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom