picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Jack Palladino

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

    Chat na picha ya kinywaji🥂
  2. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania PICHA: Feisal akila ugali sukari Yanga

  3. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa kike wote waliotoka wako na skendo za picha za ngono/ video za ngono na serikali inafumbia macho

    • WemaSepetu • Aunt Ezekiel • Nandy • Lulu diva • Amber lulu • Amber Ruty • Gigy money • Divadeboss • Jackline Wolper • ....... 📌 Msanii ni kioo cha jamii, ila sio kwa sanaa ya kipindi hichi aisee. Asilimia kubwa wasanii wengi wanapotosha jamii na kwakuwa wao ni maarufu ndo kizazi kinazidi...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nyota wa zamani wa Yanga afungua kijiwe cha mishkaki

    Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni. Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata...
  5. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

    Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado...
  6. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Katika Picha hawa ni PMC Wagner Group, kikundi tishio kwenye medani za vita.

    Ukiona hiyo nembo popote duniani ujue upo nao eneo hilo au ukute kijana wako kavaa gwanda lao labda kanunua mtumbani ujue anawakilisha hao wajuba. Wanakula kiapo cha utiifu kabla ya kuingia kazini. Wakiwa kazini na behind ni baada ya kumaliza attack two. Mission za hawa jamaa kuna nchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Msanii wa bongo movie akiwa ametokelezea na mwenzake. Ila sasa🙄

  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

    Wesley Snipe 60, Will Smith 54, Eddie Murphy 61, Martine lawrence 57.
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Weka picha yoyote ya movie wakutajie majina

    Mimi naanza na hizi hapa nitajieni majina.
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa. Kizazi kijacho kiko...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwizi wa kuku akilazimishwa kumla na manyoya yake kuku aliyemuiba

    Duh
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kabla haujaweka Picha au Video ya Mtoto asiye wako Mtandaoni, omba Kwanza Ruhusa kwa wazazi wake

    Katika kipindi hiki cha teknolojia ambapo kila mtu anamiliki simu yenye camera na kunampa uwezo wa kupiga picha kitu chochote, wakati unaojisikia, Ni muhimu na vema kujitahidi kuelewa kuwa kuna umuhimu sana wa kuuliza wazazi/ walezi wa mtoto, hasa mtoto mdogo ambaye hawezi hata kusema ndio au...
  14. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba kibaha Picha ya ndege 45 ml

    NYUMBA INAUZWA Milioni 45 tu(45,000,000/-) Ilipo kibaha picha ya ndege. Kilomita moja kutoka main road. ENEO UKUBWA 20*25 VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO LA NDANI Nyumba ni nzuri sana mawasiliano 0783985530 karibuni sana
  15. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Tunduma katika Picha Kazi ipo

    Leo ilikuwa siku nyingine. Nani aliwandanganya hawa ndugu? Hii ndiyo CHADEMA Tunduma leo. Chama baba lao. Tunataka katiba mpya sasa.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nitakufundisha kupiga na kuedit picha

    Habari, Watu kadhaa wanapenda kuanza kazi ya kupiga picha, au wengine ndio wanaanza. Kuwa na ujuzi ni jambo zuri linaloweza kukusaidia iwe unataka picha za binafsi au mpiga picha kibiashara. Basi kama unahitaji kujifunza skills kadhaa unaweza wasiliana na mimi tusaidiane. Na tunaweza...
  17. Explainer

    JamiiForums Tanzania Msaada kuna vibali vya upigaji picha maeneo ya mijini?

    Habari wakuu. Kama kisomekavyo kichwa cha habari, binafsi nimeanzisha shughuli ya kutangaza utamaduni na maisha ya Tanzania nikitia ndani vivutio vyote, watu na kila kitu. Kwa sasa nimekumbana na changamoto nyingi ikiwemo kuzuiwa kupata picha za mnato kwenye baadhi ya maeneo ambapo kwa macho...
  18. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

    Tumekuwa na picha nyingi zinazotutafakarisha vingi vingi, lakini tumekuwa interest zaidi na picha zenye kupendeza, kufurahisha, kuhamasisha, kujifunza na kuburudisha. Hii itakuwa thread maalum ya picha za kuhuzunisha na kutafakarisha juu mienendo yetu mibaya hapa duniani na athari zake kwa...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Askari anayenyanyasa wananchi kuhamishwa kituo cha kazi, kunajenga picha gani?

    Jumatatu 20 Februari 2023, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuwa limewafukuza kazi Askari wake sita mkoani Arusha (ambao hawajatajwa majina yao) katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya Jeshi hilo. Siku moja baadae, Jumanne 21...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja wa Serikali ya CCM katika Picha

    Hii ndiyo serikali yetu kwenye ubora wake: Kwa mtaji huu kuna haja ya kuziangalia upya zinazoitwa siri za rerikali. Pia Kuna haja ya kukiangalia upya kinachoitwa "collective obligation" kwenye kuitetea serikali.
Back
Top Bottom