picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa picha: Simba imewahi kutwaa ubingwa Afrika

    Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni. Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua kwapa baada ya kutwaa ndoo. Hapa ni moja ya ndoo zilizochukuliwa na kilabu hiki katika michuano hiyo...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nikiiangalia hii picha ya Nape naona kuna shida kubwa kwa hawa viongozi wetu

    Hivi huwa wanapimwa akili kweli? Hivi kuna mtu na akili timamu anaweza pita juu ya watu namna hii? Hii si ni busara ndogo kuelewa kuwa si sawa haijalishi wananchi wanasemaje. Huwa nawaza sana hii nchi haiwezi endelea kwa aina hii ya watu ambao ni very.....Sijui. Ila inasikitisha sana.
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha ya Hemed Mashaka Mdose na Mwalimu Nyerere Kura Tatu Tabora 1958

    PICHA YA BABA WA TAIFA YA MKUTANO WA KURA TATU 1958 KUTOKA MAKTABA YA MZEE HEMEDI MASHAKA MDOSE TABORA John Iliffe alipata kusema katika miaka ya mwishoni 1960 wakati akiwa mwalimu wa historia University of East Africa, Dar es Salaam kuwa historia ya TANU iko katika mikono ya watu binafsi...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Picha za wanasoka wa zamani

    Tupia picha yoyote iwe ya zamani inayohusu wasakata kabumbu iwe Tanzania, Africa na hata Ulaya.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Picha za Rais Samia baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.
  6. Scars

    JamiiForums Tanzania Nani anayeweza kutegua kitendawili kwenye hizi picha?

    Hizi ni baadhi ya picha (optical illusion) zilizoenda viral sana. Unaweza ukafafanua utata wake?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha bora ya mwezi: Kipa wa Yanga alivyoteswa na Kibu

  8. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

    Samaleko! Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

    Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki. Mbali...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
  11. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Hii picha nilivyoiona nimecheka sana. The tripple integral 😆

    Picha imefutwa
  12. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

    ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script? Kama ndiyo wapo wapi wasomi wa bongo? Haya ya mambo za ku-copy na ku-paste sio mazuri kwa sababu mwisho wa siku...
  13. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanawake mnatuma picha za utupu kwa wapenzi wenu?

    Leo nikiwa nipo kwa mshikaji tunapiga stori za hapa na pale, alinionyesha baadhi ya picha, video na rekodi za sauti anazotumiwa na mpenzi wake. Zinaonyesha utupu wake, akiwa anajishikashika pamoja na kutoa sauti za kimahaba. Sikusita kumuonya kuhusu hili lakini alijitetea kwamba mpenzi wake...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi hata kama hamjui kusoma, je hata picha hamuwezi kuangalia?

  15. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Picha ya Yesu ni mzungu halafu picha ya Shetani ni mtu mweusi?

    Yesu ni mfano wa wema na upendo na Mambo mazuri Hilo liko upande wa watu weupe (wazungu) Shetani ni mfano wa dhambi, roho mbaya na mabaya yote yapo upande wa mtu mweusi (Africa) White people (wazungu) wanatuchklia katika upande wa shetani mtu mweusi (Africa) ni kiumbe chenye roho mbaya...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukulima wa kisasa katika picha

  17. D

    JamiiForums Tanzania Pablo Escobar aliwezaje kupiga picha mbele ya White House? FBI na CIA hawakumtambua?

  18. J

    JamiiForums Tanzania Hivi haya makato wanayo fanya NMB ni sawa kweli.? Nimetuma picha

    NMB wanafanya makato ya ajabu sana tena wanafanya mara mbili mbili. Kwa transaction moja. Nilienda kurepoti tatizo hili wakaniambia niandike barua watarudisha lakin hawakurudisha na ndio kwanza naona wanaendelea kufanya makato transaction moja mara tatu. Na sasaivi nimeona wameongeza kitu...
  19. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Picha hii ya CAF inaashiria nini kwa Simba?

    Kwa wajuvi wa mambo na wale waliosoma Cuba, Je, ukitazama kwa makini picha hii unapata tafsiri gani?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Askari wa akiba akionyesha ukakamavu.

Back
Top Bottom