picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mitandao Yote Imejaa Picha za Iran Kuishambulia Israel Kwa Sababu Dunia Nzima Imechukia Uonezi wa Israel

    My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Tazama picha ya putin akiwa amelala mkononi akiwa na picha ya Ayatolla

    Daaaa hi I vibonzo
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Russia na China walivyomfanya Iran katika picha

    Wavaa kobazi mtihani sana
  4. mamamzungu

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

    Hello Hope mko salama.. Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa.. Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
  5. upupu255

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii hii imepigwa nchini Burundi

  6. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia Akiwa Na Pistol Mkononi Akiwa Ameishika Kikakamavu na Kikomandoo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama. Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu. Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania MchezajÁngel Martín aweka picha ya mpenzi wake kifuani

    Katika ishara ya upendo pamoja na hisia kali ambayo imegusa mamilioni ya watu, mchezaji kandanda wa Uhispania Ángel Martín alivua tisheti yake na kuonesha tattoo ya kushangaza. Tatoo yenye uhalisia wa hali ya juu kifuani mwake akimheshimu marehemu mpenzi wake. Mchoro huo umebeba ujumbe mkubwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAI: Uwezo kwenye Utambuzi wa Picha ya baba wa taifa (nyerere)

    JamiiAI imeonesha kiwango cha juu cha usahihi, kasi, na uthabiti wa kimfumo katika utambuzi wa picha na uchambuzi wa historia ya taarifa, kama inavyothibitishwa na vielelezo (screenshots) vya mafanikio yake ya kiutendaji. Mfumo huu umefanikiwa kuchanganua taswira kwa undani mkubwa, kubaini...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Picha ya Siku Na Ujumbe Wa Siku Kutoka Kwa Rais Samia Uliowagusa Viongozi Wa Dini,Waumini na Wakatoliki wote Nchini kote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Hakika tumepata kiongozi wa Mfano...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu na Muhammad walikuwapo, kwanini wanazua ugomvi na utata?

    Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa...
  12. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye vitabu vyetu haziwekwi picha sahihi za mashujaa wa majimaji?

    Picha tunayoitumia kwenye vitabu haionyeshi uhalisia wa hali ya waafrika miaka hiyo ya 1905. Yaani hii picha haikufaa kabisa kuendelea kutumika. Hiyo ni picha ya kuchorwa na mkono. Picha inamuonyesha Kinjeketile kama Mtu mwenye kitambi/kiribatumbo, yupo tumbo wazi, anamduara ule kichwani...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: HAWA NDIO MAANA UKIGUSA MASLAHI YAO WAKO RADHI WAKUUE

  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TCRA: Picha zako za utupu zikivuja toa taarifa Polisi, usione aibu

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Kadaya Baluhye, amewataka waathirika wa unyanyasaji mitandaoni, ikiwemo uvujaji wa picha za utupu, kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili wapate msaada unaostahili. Wito huo umetolewa wakati wa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ulinzi wa Rais Samia ni wa Kikomandoo na haujawahi kutokea barani Afrika. Hata sisiminzi hawezi kukatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi Ni Taifa Kubwa,sisi ndio tulio zikomboa na kuzisaidia Nchi Nyingi sana za kusini Mwa Afrika kujipatia Uhuru wake. Sisi ndio Kwa Miaka mingi tumekuwa sauti ya Afrika na waafrika,sisi ndio tumekuwa watetezi wa Afrika na waafrika. Sisi ni Wababe kwa Mambo mengi . Sisi...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hii Picha Tunasubiri, Mseme Jambo!

  17. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Picha yangu bora ya Mwaka 2025

    Kwangu mimi hii ndio picha bora ya mwaka 2025. Wewe je, picha yako bora ni ipi?
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama unaujua mpira vizuri, historia na positioning, ebu chagua viungo watatu bora kutoka katika picha hii

    Hao waliosimama ni lothar mathaus na dunga Mimi: Mathaus Keane Makelele
  19. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hii ni picha ya wagonjwa waliolala chini ni kweli imepigwa katika hospitali ya Kyela?

    Wakuu Nimekutana na hii taarifa huko Facebook kwa huyu mdao Kyela Tz anaeleza kuwa hii ni picha ya wagonjwa katika hospital ya wilaya ya Kyela wakiwa wamelala chini.
  20. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye picha hii

    Wakuu Samahanini kwenye hii picha nimeitoa kwenye ukurasa wa ofisi ya waziri mkuu wakisema kuwa picha hii ni vijana waliokuwa wanaagwa na kwenda kufanya kazi ya boda boda huko UAE ama falme za kiarabu . Swali: Hawa kweli ni vijana wanaoenda kuendesha boda boda uarabuni na je ni kweli uarabuni...
Back
Top Bottom