Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
NOW YOU SEE HIM NOW YOU DON'T: MKASA WA PICHA YA WAASISI WA TANU 1954
Miongo minne iliyopita...
Hiyo makala "Now You See Him Now You Don't," yenye jina True Muslim huyo ni Mohamed Said.
Baada ya makala hii sikuficha tena jina langu.
Hii makala Ally Sykes aliisoma na ilimgusa sana moyo wake...
Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Unaenda zako kwenye wedding, summit, graduation au event yoyote. Umekaa zako mezani sometimes hata hightable kbs ghafla cameraman anakuja...Boss unatabasamu kidogo...Anakupiga picha moja... mbili... kumi... hadi zaidi ya 50. Ukiona hivyo unajua leo boss umedebedesha.
Lakini event ikiisha ndiyo...
Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida
Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu.
Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
Mie ni mpenzi sana wa picha za kuchora kwa mkono, picha za ubunifu kuliko za kuchora kitumia programu au mashine.
Kuna picha zinachorwa na wasaanii wa uchoraji mpaka mwenyewe unabaki kuwaza huyu mtu aliwaza nini?
Wewe unapenda picha gani, au bora picha.
Tupia picha zako kali za kuchora kwa...
Kumekuwepo Picha inayosambazwa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na X (zamani Twitter) kumuonesha mwanaume wa Zimbabwe aliyekwenda Afrika Kusini mwaka 2009 na kurejea nyumbani baada ya miaka 16 kufuatia mashambulizi dhidi ya wahamiaji (xenophobic attacks), ambapo amekuta nyumba ya familia...
Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli,
Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana.
Inavyoonekana sijui ni nani...
Ukienda kwenye tovuti za benki kuu, majarida, matangazo au habari zinazohusu fedha, mara nyingi utakuta picha ya noti imeandikwa neno kubwa la "SPECIMEN" katikati.
mbona vitu vingine vya thamani kama magari, nyumba, dhahabu,hati n.k picha zake huonyeshwa kama zilivyo bila kuhaririwa.na sio kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.