picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa oppo a3x inazidi Samsung a16 ubora wa picha why

    Aya nipeni maneno nje ya mada pia kwanini Samsung nyingi karibu zote picha zake mbovu zinapauka mno s23 picha insonekana vizuri ila rangi mbaya
  2. R

    JamiiForums Tanzania Dua Lipa ashtaki Samsung $15M kwa kutumia picha zake kwenye Maboksi ya TV

    Staa wa muziki wa Pop duniani, Dua Lipa, ameishtaki kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 (takriban shilingi bilioni 40 za Kitanzania), akituhumu kampuni hiyo kutumia picha yake kwenye maboksi ya TV huko nchini Marekani bila ridhaa yake. Katika kesi hiyo iliyofunguliwa kwenye...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Hii nchi kila mtu tapeli

    Weka comment nzuri inayoendana na Siasa itakayo maanisha hii picha. Mshindi namwekea bundle
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  5. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ushirika wa PPPC na TPSF ni game changer kwenye kujenga Uchumi mkubwa na wa kisasa | Watanzania tuchangamkie fursa huko huko tunakoishi

    Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya sekta binafsi katika miradi ya ubia (PPP). Hatua hii inatajwa kuwa ni mwendelezo wa jitihada za...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Dogo kaniuliza nini tofauti kati ya WANT na NEED, nimemtumia hii picha natumaini kaelewa

    NEED👇. WANT👉 Kuna vitu unavyovihitaji na kuna vile vitu unavyotaka.
  8. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Kijana adaiwa achukuliwa na wasiojulikama wakiwa wamevalia mask nyeusi

    Vijana tembeeni na Silaha na mlinde ndugu zenu. Mkishindea mtaisha wote
  9. U

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

    PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026 == Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026. Menejimenti na watumishi wa kituo hicho...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tutajenga ofisi ya mkuu wa mkoa kwa Tsh bilioni 10

  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Mamia ya Wananchi wamsimamisha Heche Magufuli bus Stand. Huu ni upendo mkubwa kwa CHADEMA. Watu wanahitaji ukombozi

    Upendo kwa Chadema
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Una picha gani katika simu yako ambayo inafikirisha

    Mimi nina hii👇 sio kwamba huyu mama ni mjinga zaidi yako, sio kwamba ni mdhaifu zaidi yako, sio kwamba hana juhudi kama wewe ni basi tu hajabahatika kama wewe. Shukuru kwa kila jambo.
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Madenge kijana aliejitoa mhanga kubadili upepo wa Oktoba 29

  14. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chande atuonyeshe angalau picha moja alopewa ya waandamanaji wa 29/10 waliobeba silaha za moto siku hiyo kama ushahidi, la sivyo anasema uongo

    Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto. Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake. Kama ni hivyo, basi hii tume ituonyeshe angalau picha moja ya waandamanaji wa 29 October wamebeba silaha za moto...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 asema 'picha baadhi zilikuwa halisi nyingine zilitengenezwa kwa akili unde'

    Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja. Picha hizi zilipatikana na ziliwasilishwa na mashuhuda wa matukio...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii kuonyesha barabara ikiwa imeharibika imetengezwa kwa kutumia Akili unde

  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii siku rafiki zetu walipoteza maisha kama kuku PUMZIKENI KWA AMANI

  18. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Voyager i ndo chombo kilicho mbali zaidi na dunia, kimebaba picha na ujumbe kutoka Duniani. NASA waliamini sikumoja labda kitapatikana na alliens

    Chombo cha anga cha Voyager 1 ni moja ya mafanikio makubwa zaidi ya binadamu katika historia ya sayansi. Hiki ndicho chombo kilicho mbali zaidi na Dunia kuliko chochote ambacho binadamu amewahi kutuma angani. Kilirushwa mwaka 1977 na NASA, kikiwa na lengo la kuchunguza sayari kubwa kama Jupiter...
  19. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Picha ya Trump akijifananisha na Yesu yapata ukusoaji mkubwa mitandaoni

    Moja kwa Moja.. Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu . Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa mitandaoni baadhi wakisema anafanya kufuru kwa kuleta mzaha kwenye dini , kujipa nafasi ya Mungu na...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Watu wa Arusha mtusaidie, je, picha imepigwa Arusha?

    Ni kwamba watu wa Arusha mmeshindikana au vipi? Hili tukio la huyu jamaa akivuta 'Space Capsule' ni la kweli?
Back
Top Bottom