picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ACT Wazalendo, ilikutana na Tume ya Jaji Chande na wakaomba isipigwe picha?

    Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
  2. 888I

    JamiiForums Tanzania SERIKALI IMEAJIRI LOBBY GROUP YA MAREKANI KUREKEBISHA PICHA – HUKU SIYO KUIUZA NCHI?

    Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂 1. Kwanini Marekani na kwanini Tom Graves? Washington D.C. inatawaliwa na kitu kinaitwa "Lobbying Engine." Siasa za Marekani, hususan chini...
  3. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Tripod + selfie stick yenye taa (LED light) inauzwa

    📸 Piga picha na kurekodi video kitaalamu kwa simu yako 💡 Ina taa kali (LED) – bora kwa TikTok, YouTube, Live, Zoom & selfies 📱 Inashika simu zote (Android & iPhone) 🔄 Inazunguka – wima na mlalo 🦵 Miguu imara (tripod) + selfie stick inayorefuka 🎒 Nyepesi, rahisi kubeba ✅ Inafaa kwa: ✔️ Content...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Pata picha eti hawa ndo wabeba maono wa Serikali ya Tanzania

    GT Sina ugomvi na watu wa Pwani lakini ni watu wavivu sana. Na serikali ikijaza watu wa aina kwenye uongozi usitegemee chochote cha maana kitafanyika.. Mfano. 1. Mchengerwa 2. RITZ 3..Awesu 4.Jafo 5. Ulega Etc Nchi hii ili iweze kusonga mbele upstairs wanatakiwa wawepo. 1. Wachaga 2. Wahaya...
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Picha ya uyoga unaosadikika kuwa na sumu

  6. M

    JamiiForums Tanzania Sipatii picha waraka wa TEC wa pasaka utakuwaje

    Ndugu zangu kutokana na kilichotokea october 29, siupatii picha waraka wakina padri kitima utakuaje aisee
  7. upupu255

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii si ya Tanzania ni kutoka nchini Nepal

    Wakuu nimekutana na hii picha yenye mandhari ya kuvutia sana. Navutiwa sana kuishi maeneo yenye utulivu na mvuto kama huu. WanaJamiiCheck naomba mnisaidie kujua hapa ni wapi?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Samia na Makonda wametoka mbali! Una maoni gani?

    Nini maoni yako?
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Maandamano Iran katika picha!!

    Wananchi wa Iran wanaingia wiki ya pili katika maandamano yao ya kutaka kuung'oa utawala wa kinabavu wa Ayatollah Ali Khamanei!!!
  10. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nimemuonea huruma sana Mchina aliyeenguliwa wakati wa kupiga picha

    Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote hao wamekuja kwa kuchelewa kidogo lakini hawajakutana na kizuizi. Ajabu ni kwamba kuna watu kama...
  11. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania AI na ushahidi wa picha

    Kupitia AI, Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu. Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu ukaonyesha na picha bhasi utaaminika mia kwa mia. Ila kwasasa, picha ambazo zingeweza kutumika kama...
  12. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Picha na Video zilizochapishwa mtandaoni kumuhusu Rais Maduro baada ya kukamatwa na Marekani zinapotosha uhalisia

    Baada ya Januar 03, 2026 Rais wa Marekani Donal Trump kutangaza kuwa vikosi vya jeshi lake vimemkamata Rais wa Venezuela Nicolous Maduro kumeibuka picha na video nyingi kuuhusu Rais huyo akiwa anakamatwa ama akiwa katika mikono ya wanajeshi wa Marekani.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya, Watendaji wawajibike

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia yao ni mbaya ila anachukulia hiyo ni njia ya Utoaji wa taarifa ili ifanyiwe Prof. Mkenda ameyasema...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nadhani hakuna mtu anayetaka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji

    Katika Hali ya kawaida hakuna mtu mwenye akili timamu atataka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji ukiona hivyo ujue wewe ni msafi na muuwaji anataka kujisafisha kupitia wewe.
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wasanii Shilole na Wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu

    Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Trump aonesha picha ya Maduro akiwa chini ya ulinzi

  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Azam Sports Wamefuta Picha zote za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu

    Azam Sports Wamefuata Picha za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu. Mara ya kwanza walipost hii, kabla ya kufuta picha zote zinazomuonesha Tundu Lissu Katika Mchezo wa ngumi uliokiwa Ukirushwa Azam TV, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo, alivaa t-shirt yenye picha ya Mwenyekiti...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ujumbe katika picha ya Lissu, Samia na Mahakama kutoka Kwa bondia Hassan Mwikinyo

    Bondia Mwikinyo Jana katika Pambano lake dhidi ya Mnigeria (jina nimelisahau) alivaa t-shirt yenye ujumbe mzito katika picha 1. Samia kuwa kifuani, mbele Ina tafsiri ni mtu aliyejiweka mbele na kuweka upinzani nyuma, akikandamiza haki, na kufanya mauaji ili abaki madarakani 2. Lissu kuwa...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ukionyesha picha msanii akifanya show Leo Christmas, nakupa laki 1

    Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina...
Back
Top Bottom