picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    PostGE2025 Picha: Askari Magereza aliyepigwa risasi na Polisi Oktoba 30, 2025 Mazizini DAR

    kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali. Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
  2. Richard

    Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  3. Busu la Kenge

    David Beck amuiga Imam Hussain pozi la picha

    Sir David Beckham eti naye amemuiga Imam hussein pozi la picha alipokuwa na mijibwa yake kijijini uingereza. Pozi hilo maarufu la kipekee ambalo kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya ukatili, udhalilishaji na...
  4. Jidu La Mabambasi

    Guardian, wahariri wako likizo, picha na caption haviendani!

    GUARDIAN NEWSPAPERS, Wahariri wako likizo. Hili ni gazeti la leo.
  5. R

    GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
  6. Binti wa zamani

    PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

    Nani mwingine amepata hii SMS ???
  7. figganigga

    GE2025 Wanaompongeza Samia, waambatanishe na picha hizi

    Ni dhahili bila shaka, wale wote wanaompongeza rais Samia, au wanaofurahia ushindi wa Samia, Wasiacha kutembea na picha hizi vifuani mwao. Furaha ipo wapi? Je, Mtahudhuria mazishi au mtaacha waliwe na kunguru? Nini kosa la hwa watoto? Naamini sasa mtakula na kula kwa furaha.. Binadamu...
  8. M

    Polisi wanalazimisha biashara ns nyumba zenye cctv kufuta picha.

    Kama una cctv ambayo imechukua picha zozote za maandamano, tafadhali hamisha hizo picha haraka na kuzitunza. Wanataka dunia isijue kilichotokea. Kama una ndugu Unajua ana cctv mfikishie ujumbe. Wa record hizo taarifa zote na kuzificha. Polisi wanaanza kupita kwenye biashara za watu kufuta...
  9. Richard

    Je, watumia Zoom? Chukua tahadhari namna ya kujilinda na mambo kama ya kurekodi na kupeana picha na pia hatua za kiusalama security settings control .

    Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe. Ujumbe wa maandamano hayo...
  10. Roving Journalist

    GE2025 Mkoa wa Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya majimbo ya uchaguzi (12) ambayo ni Jimbo la Kinondoni Jimbo la...
  11. ELI COHEN

    Ila hii picha ina ukweli wa uhakika

  12. Genius Man

    GE2025 Mo29 mkiniona nimepiga picha chumbani Ikulu msishangae ni kodi zangu

    Mo29 mkiniona nimepiga picha chumbani ikulu msishangae ni kodi zangu.
  13. Nyamwage

    Waya wa Display port unatoa picha kali kuliko waya wa HDMI

    Kama sio mchunguzi na mdadisi huwezi kuelewa hizi picha hapa chini mwanzo nilidhani nimepigwa au kioo kibovu maana haiwezekani monitor ya mwaka 2011 Hp ya kushoto iizidi quality monitor ya mwaka 2022 Dell ya kulia
  14. Its Tesha

    Unadhani kwanini jamaa ameiangalia picha kwa uchungu?

    Akiwa ameketi kimya, macho yake yamekazia picha ya kiongozi anayezua mijadala mingi. Uso wake umejawa na fikra nzito, kana kwamba anapima tofauti kati ya maneno na matendo. Ni ukimya wenye ujumbe, ishara ya hasira iliyofika ukomo. Vijana tunatoka na hakuna wakuzui Oktoba 29 tuleta mabadiliko...
  15. S

    Kusambaa kwa picha na ujumbe wa kuhamasisha maandamano, vyombo vya dola havioni au wanaunga mkono kimya kimya?

    Kwa muda sasa, tumekuwa tukiona kwenye mitandao picha na ujumbe wa aina mbalimbali wa kuhamasisha maandamano na leo mpaka karibu kabisa na kituo kimoja cha Polisi kuna matangazo hayo ya kuhamasisha maandamano. Swali: Vyombo vya dola havioni haya matangazo au na wao wana jambo lao? Muda utasema.
  16. JamiiCheck

    SI KWELI Picha hii ni ya Tanzania. Kwanini tukifika hapa lazima mahubiri yaanze?

    Mdau anauliza 'Kwanini tukifika hapa lazima mahubiri yaanze?'' je, hapa ni wapi?
  17. M

    Ni mtu gani maarufu anaekujia akilini ukiona hii Picha

    GOAT - Greatest Of All Time. Aliewahi kukifanya kitu kwa ubora haijawai tokea
  18. DuaZaMama

    GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  19. JamiiCheck

    KWELI Picha hii ni halisi, ilipigwa mkoa wa Mbeya, Tanzania

    Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha, bainisha eneo halisi picha hii ilipopigwa na Nyenzo uliyotumia.
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Vituko vya boda boda. Tupia picha au clip tufurahi/tucheke

    Weka picha ama clip ya bodaboda yenye maudhui ya kuchekesha ama kufurahisha
Back
Top Bottom