pesa

  1. Wanawake acheni uchafu kwenye vyumba vyenu mnatia aibu

    Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana. Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu? Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni...
  2. Eti, pesa inamaliza matatizo au matatizo yanamaliza pesa?

    Eti, pesa inamaliza matatizo au matatizo yanamaliza pesa? Nipeni muongozo.
  3. R

    Yondani anaweza kupata pesa nyingi kuliko kipindi chote alichocheza mpira

    Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani...
  4. Hii tabia ya kukata pesa pembeni inaharibu pesa zetu, tuiacheni jamani

    Wabongo ni watu waajabu sana, tuna viimani vya kipumbavu sana, sijui tumetoa wapi tabia zisizo na maana yeyote. Hii tabia ya kukata hela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote, Kila pesa nayoishikilia iwe jero, buku, kaki hata msimbazi hukosi kukuta...
  5. Hii tabia ya kukata pesa pembeni, inaharibu pesa zetu, tuiacheni jamani

    Wabongo ni watu waajabu sana,tunaviimani vya kipumbavu sana,sijui tumetoa wapi tabia zisizonamaana yeyote. Hii tabia ya kukata ela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote, Kila pesa nayoishikilia iwe jero,buku,kaki hata msimbazi ukosi kukuta haijakatwa pembeni...
  6. Tigo pesa ina shida gani leo?

    Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error. Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina tatizo?
  7. Pesa By Mr. Blue a.k.a Bizy Bablon, Kabaisa

    Intro: Yeah, Biiizy Babloon/ Herry Samir, Mr. Blue (waelezeeee) Aaahhh Nimetoka Mbaaaaali Mbaliiii mbali mbali ( waelezeeee, waambie ukweli) What's up!! What's up!! Sayi Records (Records), Lazima tusherekee kwa kile kilichofanyika au sioooooo..... Let's Gooooo!!! Verse 1 Nshatembea kwa miguu...
  8. Umewahi kumkopesha pesa mpenzi wako na akakulipa bila shida? ulitumia mbinu gani kumdai? Share hapa

    Unajua Kusema 'hapana' ni ngumu wakati mwenzi anaomba pesa tena akionesha ana shida muhimu au vyovyote vile. Lakini kabla ya kusema ‘ndiyo’ jiulize maswali muhimu Atakulipa? Atakulipa kwa wakati? Asipolipa unafanyaje? Uko tayari kudhulumiwa?
  9. Hersi hizo pesa ambazo unatumia kuwasaidia waandishi wa Habari si tungewekeza kwa Wachezaji wetu?

    Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza. Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka...
  10. Huyu mwanamke amejisingizia ana mimba ili anipige pesa?

    Kuna mwanamke nilikutana nae kwenye garii nilikaa siti ya mwisho kabisa upande wa kushoto na yeye pia alikaa siti ya mbele yangu tulikuwa kikundi cha Street tulikuwa tunaenda Beach. Sasa tamaa za vijana sisi mtoto nilimuelewa kinoma yanii kweli nikachukua namba tukaenda Beach kila mtu alikuwa...
  11. Majini yanayoongoza kula pesa za wanawake nchi za dunia ya tatu

    Hawa ni majini, na kama tujuavyo majini kazi yao ni kuharibu na kupotosha. Hamna nyingine. 1. Waganga 2. Manabii wa uongo. 3. Saluni/Urembo na mavazi. Hawa ndiyo kwa kiasi kikubwa wanakula sana pesa za wanawake. Yaani nyumbani inawezekana kabisa ukawa huna pesa hata kidogo na mke anafanya kazi...
  12. Pesa imeshika hatamu kuliko upendo wa kweli

    Hii ni kotekote, upande ke na upande me huingia penzini kimasilahi hivyo inachangia sana mahusiano yatawaliwe na ugomvi na ndoa kutokuwa na amani, sababu mtu anaingia penzini akitarajia kitu fulani akikikosa ndipo anafungua makucha au akishakipata ndipo hufungua makucha. Shetani kasimama kidete...
  13. Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  14. Pesa pekee haileti mafanikio ya timu, mbinu za kocha pia zinahitajika

    Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni. Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja...
  15. Kitu gani kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa?

    Hivi kitu gani ambacho kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa ...?? Kila mtu anapenda kufanikiwa, sio...?? Huwa tuna sukumwa na nini...?? Najua sababu zipo nyingi ila za msingi ni zipi....??
  16. Je, nawezaje kujikwamua kwa Vifaa hivi na kiasi cha pesa?

    Habari zenu wakuu, Najua fika kua jukwaa hili limejaa watu werevu na wenye uzoefu tofaut tofaut kwenye sekta ya ujasiriamali, hivyo ndugu zanguni nimekuja kuomba mawazo yenu ili niwezepata muongozo. Hapa nilipo nina freezer boss lita150, nina kabati la vioo yale ya chips saiz ya kati, nina...
  17. Mke mpya wa Manara avunja ukimya, "Sijafata Pesa"

    Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote. Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria...
  18. Kwanini Graphics Designer Wanashindwa Kutengeneza Pesa?

    Kama umewahi kujaribu kuanzisha biashara wewe mwenyewe utakuwa unaelewa ilivyo ngumu kuanzisha biashara yenye mafanikio. Aina ya biashara unaweza kuanzisha ni nyingi mno, kiasi kwamba wengi huwa hawajui wanaanzia wapi. Tukiongelea creators kama graphics designers, wanapoanza huwa wanakubali kazi...
  19. Pesa za wanaofariki zilizopo kwenye mitandao ni manufaa kwa mitandao tu? Sidhani kama watu hufatilia

    Hivi hizi pesa tunazoweka kwenye simu ikitokea umefariki hivi kweli kuna watu wanapata wakati kweli kufatilia pesa za marehemu kwenye simu maana naona kama hizi hela zinapotea kabisa. Sijui kuna utaratibu gani uwe mzuri na ushauri namna gani ifanyike.
  20. Ninapenda pesa

    Wakuu, husika na kichwa cha uzi. Siku hizi ninapenda pesa sanaaaa yaaani nikiikosa nahisi kuchanganyikiwa kabisa. Kama ni watoto nitawafokea kwa vitu vidogo vidogo na ninaweza nisielewane na wengine kabisa kwa sababu ya kukosa pesa.. Ila nikiipata sasa.. weweeee😋😋😋 nakua nna mahabah hatari na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…