pesa

  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

    Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki. Kumbe tulipigwa USSR -- Rais Samia amesema haya... "Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wapo wanawake wanaotongoza wanaume na bado ni waaminifu ukiachana na vicheche wanaojigonga kwa pesa/umaarufu?

    katika kuelezea hisia za mapenzi, sio lazima kila siku mwanaume tuu ndio awe mwanzilishi wa kusema hisia zake kwa mwanawake, kuna kipindi mwanamke anaweza kufunguka. achana na vicheche kadhaa vinavyokomalia watu vyenye mapenzi ya mikwanja, majina na umaarufu ambavyo ukiwa chata tu vinajigonga...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sophia Mjema, baada ya kuzuia upigaji Vishikwambi. Angazia na hawa HESLB waturejeshee pesa walizotukata kimakosa. Prof. Mkenda limemshinda

    Hawa HESLB wana tabia ya kuzidisha makato ya marejesho ya mkopo bidi unapomaliza marejesho ya mkopo kwa kuendelea kukata mishahara yetu kila mwezi, hata kwa zaidi ya miezi 3 hadi 6 inategemea ya wepesi wako wa kuwafuata kwenda kulalamika. Baado ya hapo ukiomba kurejeshewa makato yaliyokatwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Elimu na pesa

    lala, amka kumbuka kuwa lengo kuu la mwaka ni kutafuta pesa ili wanao wasije kupitia mateso, misukosuko na majuto uliyopitia... swali ni kwamba unazipataje hizo hela? hasa kwa wale wasomi ambao tunatumia muda mwingi kusoma vitu ambavyo havina uhalisia na maisha ya mtaani?
  5. paul miteda

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

    Nimeishi na mwanamke miaka 10 tuna mtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo. Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu...
  6. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Uganda: Mahakama imeamuru mwanamke amlipe 'sponsa' pesa yake

    Huko nchini Uganda Mahakama imeamuru Mwanamke mmoja alipe gharama ya Ush 10 millions kwa sponsa wake kama fidia ya Mwanamke huyo kumuacha njia panda sponsor baada ya kusomeshwa. Imeelezwa mahakamani hapo kwamba sponsor alimsomesha binti chuo pamoja na kumghalamia mambo mengine lakini ilipofika...
  7. Bwanamaya

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii. Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa kwenye ku-manage pesa na wafanyakazi nk.
  8. Debby the FEMINIST

    JamiiForums Tanzania Nachingwea: Viongozi wa Serikali na Wachimbaji washirikiana kutorosha pesa za mgodi

    Zaidi ya shilingi milioni 901 zimekusanywa na serikali kuu kupitia mrabaha na ada ya ukaguzi katika mgodi wa madini ya shaba uliopo katika kijiji cha Nditi wilayani Nachingwea. Hayo yamesemwa na afisa madini mkazi Iddy Msikozi alipokuwa akisoma taarifa ya makusanyo tangu Septemba 28, 2022 hadi...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Rais pekee ambaye aliingia Ikulu akakuta kuna pesa Hazina alikuwa Kikwete. Waliofuatia...

    Hayati Magufuli aliingia Hazina kukiwa kumepigwa sana hamna kitu, Samia naye ameingia watu wamepiga sana pesa Hazina hakuna kitu. Watu wanajua wakati wa Uchaguzi ndio wakati wa kupiga pesa za umma. Na kwa kuwa watanzania ni wapole. Wanamwachia Mungu. Mungu naye anawatizama anasema "nyie mabwege...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usiwape pesa watu wenye mikosi, utapoteza zaidi

    Habari! Hili jambo nimelifanyia utafiti wa kutosha. Ni hivi: Kuna watu wamenajisiwa na majini, wachawi, mizimu au mapepo ili wasisitawi kwenye jambo lolote lile. Kielimu, kiuchumi, kisiasa na hata kijamii ukinajisiwa na wachawi huwezi kustawi. Utaishi kwa mateso mwanzo mpaka mwisho wa uhai...
  11. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Wanawake, pesa au mapenzi ya dhati? Wanaume, tako au tabia nzuri?

    Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati? Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri? Twende kazi...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini kifanyike kuzuia utakatishaji pesa za madawa ya kulevya na ufisadi kwenye taasisi holela za kidini?

    (Kisheria sadaka hailipiwi kodi, jina la mtoaji sadaka na kiwango cha sadaka ni siri), [Toa sadaka, kwa kidogo au hata KIKUBWA] , mwenye umaarufu zaidi na watu wengi zaidi ndie anaweza kutakatisha pesa nyingi zaidi bila kuibua maswali mengi. ========================== Utakatishaji pesa ni nini...
  13. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Amenidhulumu pesa yangu lakini aliacha viatu vyake kwangu

    Habari wakuu. Kuna jamaa yangu alikuwa na shida ya pesa laki tano(500,000/=) ili akaongezee kama nauli kwenye biashara zake kusafirisha kutoka DSM kwenda Songea. Kama rafik yake ninayefahamiana nae muda mrefu kidogo na kutokana na namna alivyokuwa akihangaika kuipta hyo pesa nikaamua kumuazima...
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania KKKT Dayosisi ya Pwani, pesa za miti mlizochangisha ziko wapi?

    Hii Dayosisi ina makando kando mengi sana, walichangisha pesa kwa ajili la kupanda miti ekali zaidi ya 1000 kwa makanisa yote ya Dar es Salaam kuwa ule mradi ni wa vijana leo hii hakuna hata mchicha umepandwa na si ajabu yale mashamba wameshagawana maaskofu. Ikitokea mtu akasema ukweli kua...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya Kimantiki (Logically) kati ya Mwizi Mzoefu wa Pesa na Mla Rushwa Maarufu

    Je, Kosa lao ni moja ( linafanana ) au ni Makosa Mawili tofauti? Je, mbele ya Macho na Hukumu ya Mungu kuna mwenye Afadhali Kiadhabu? Je, Wawili hawa wakikutana kuna ambaye atamshangaa Mwenzake? Na mkisema Makosa yao (Dhambi zao) ni sawa kwanini Waswahili wengi hukimbilia Kuwaadhibu kwa...
  16. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Dj AllyB a.k.a Profesa.... Nasemajee.... Maneno Kidogo Pesa Mingi.

    Mzee wa Nasemajeeee... Mizuka ya huyu mwamba ni next level.. Ndiyo Dj anayetrend zaidi kwa sasa kutokana na style yake ya kupiga miluzi mingi pindi anaposherehesha. Hajaajiriwa na kituo chochote cha radio au tv, bali anapiga mixing kali kwenye kumbi mbalimbali za starehe na burudani hasa hasa...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Al Hilal nayo yamtaka Messi kwa mabilioni ya pesa

    Mkataba wa Leo Messi wa PSG unamalizika 2023 na huko Saudi Arabia, wanamtaka akajaribu bahati yake huko mara moja. Hata kabla ya mkataba wake kuisha. Kama Al Nassr alivyofanya na Cristiano Ronaldo, Al Hilal sasa wanataka kumpa Messi pesa nyingi. Kulingana na 'Mundo Deportivo', klabu hiyo itampa...
  18. Rashidi Jololo

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imetutapeli Wavuvi pesa za mradi wa IFAD, mabilioni ya Samia YAYEYUKA

    Wanabodi, kama ilivyokuwa katika awamu ya mwisho ya Kikwete, vilianzishwa vikundi na vyama vya ushirika na kukopeshwa mamilioni ya shilingi bila riba. Baada ya utawala wa Magufuli kuingia, vikundi na vyama hivyo vya ushirika vikafutiliwa mbali na kutokomea na kodi zetu. Mchezo huo ni kama...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Kama Manara kaachwa kumbe tatizo sio pesa

    Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli. Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!! Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tutafute Pesa hata kama kwa Kisomo na Duaa basi pia tuwe Makini. Kuna watu wanapesa hawana Raha

    Nimekumbuka tu maisha ya Tajiri mmoja ambaye alikuwa na mabasi mengi Mkoa flani ila kwa sharti la kuwa na kidonda ndugu kinachonuka. Bahati nzuri nlikuwa nafahamu story ya huyu mtu ambaye alikuja filisika. Sasa nikakumbuka kisa cha kijana mmoja ambaye alikubali awe anaingiliwa na Jini ili apate...
Back
Top Bottom