Pesa By Mr. Blue a.k.a Bizy Bablon, Kabaisa

Pesa By Mr. Blue a.k.a Bizy Bablon, Kabaisa

Lyrics Master

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
482
Reaction score
681
Intro:

Yeah, Biiizy Babloon/
Herry Samir, Mr. Blue (waelezeeee)
Aaahhh Nimetoka Mbaaaaali Mbaliiii mbali mbali ( waelezeeee, waambie ukweli)
What's up!! What's up!! Sayi Records (Records),
Lazima tusherekee kwa kile kilichofanyika au sioooooo.....
Let's Gooooo!!!

Verse 1

Nshatembea kwa miguu kabla ya kuwa mista bluu/
Hakuna sister duu Wala brother duu aliyenijua/
Zaidi ya joto, mvua na jua/
Na msoto, ulionikuza nikakua/
Labda ghetho, na washikaji wanaonijua/
Kweli shida kama moto, zinaunguza unaungua/
Amani Dar Es Salaam, nyumbani Dar Es Salaam/
Rest in peace my mum, nakupa salaam/
Huku maisha kidogo matamu, nakula vitamu/
I miss you Mum, I miss you Mum/
Ilikuwa kama ndoto kuwa supastaa/
Kuruka kopo kila kona kila baa/
Kwenye Hali ya msoto maisha shida na njaa/
Bongo kweli nyoso, bongo balaa/
Kijana usikate tamaa, kaza jombaa/
Kabla ya Dully Sykes kutoka na Juma Nature/
Nipo kariakoo kwenye zaga tunakesha/
Kila Banda kila Store tunasaka pesa/
Upepo umechange na mambo yote Bomba/
Hunikosi top twenty Wala tatu bomba/
Ma-fans utitiri autograph wakiomba/
Sijafika ikulu kupiga chata kwa MJOMBA/
waandishi wa habari nao wanataka habari/
Mimi Sina habari, Niko beach napata upepo wa bahari/
Masnitch woote nawaona kwa mbali/
Natumia pesa, naijua pesa/
Kula nyama kula maji tumekuja kutesa , kuimba na kucheza/
Kuimba na kucheeeezaaa Let's Goooo!!!

Chorus;

Tunatumia Pesa Pesa pesa/
Tulitafuta pesa pesa pesa/
Tukazipata pesaaaaaaaaa/
Tumekuja kutesa kuimba na kucheeeezaaa/
Tunatumia Pesa Pesa pesa/
Tulitafuta pesa pesa pesa/
Tukazipata pesaaaaaaaaa/
Tumekuja kutesa kuimba na kucheeeezaaa

Verse 11

Ukipenda kula ndama, and glass gonga cheers/
Waambie akina mama, Leo nyama zinaliwa steers/
Jiji limehama, Mabwana tumevamia/
Slogan za kinyama, nafikiri tulikwambia/
Flow mamia kwa mamia/
Kwenye show, mamia kwa mamia yanaingia/
Kwenye store, album wameshindwa kubania/
Kweli Soo,kula nyama kula bia mpita njia/
Wapigie marafiki, waambie hii sio kila week/
Hii ni kila siku mchana na usiku/
Sherehe imepamba moto kama uswazi na kiduku/
Wachokozi na vikuku, Na Wala sio sikukuu/
Chana pesa weka pozi mpaka ubaki Mtupu/
Namwaga noti kama mtoto wa fisadi/
Na-change watoto kama vile hakuna idadi/
Niite superstar Pembeni Nina bodyguard/
Hapa hakuna kulia njaa kweli card/
Tunatumia Pesa, tumekuja kutesa kuruka kuimba na kucheza/
Tunamekuja kutesa kuimba na kucheeeezaaa/
Tumia pesa weeweeeeeee!!!!!

Outro;

Kaa mbali weweeeeee/
Ni muda wetu weweeee/
Watu wamefanyakazi wanaba-ba-banjukaaaa tuuu/
Respect micharazo for life style, B.O.B/
Au sio Bwana!!?? Come on waambie tumekuja kutesa kuimba na kucheeeezaaa/
Sayi Records, Say Records, I see you Brother/
Habari unayoooo Alright....
 
Verse 2 Hadi 10 ziko wapi naona umetoka verse 1 Hadi eleven(11)
 
Mwamba anajua namna anavyochana unatamani umsilikizilize kama snoop dog rap style yake [emoji91]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom