Hemedy rashidy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 245
- 147
Kuna mwanamke nilikutana nae kwenye garii nilikaa siti ya mwisho kabisa upande wa kushoto na yeye pia alikaa siti ya mbele yangu tulikuwa kikundi cha Street tulikuwa tunaenda Beach.
Sasa tamaa za vijana sisi mtoto nilimuelewa kinoma yanii kweli nikachukua namba tukaenda Beach kila mtu alikuwa anaoga kivyake tukarudi home nikawa na chart nae kweli nili approach na akukubalii kesho yake.
Mtoto akaomba tuonane nikasema yes ndio navyo taka hivii kweli mtoto tukapanga sehemu ya kuonana, akasema Lodge nikasema sawa kweli tulionana Lodge mwisho siku nikaruka nae.
Hiyo siku kumbe sikujua yule mtoto kama alikuwa kwenye siku zake za hatarii au vipii nashangaa baada ya siku 3 sijuii 4 baada ya wiki nika mgonga tena baada ya hapo anasema hanielewii anahisi kutapika sijuii mwisho wa siku kupima kweli anasema ana mimba na mimi hapo sina chochote.
Akasema usijali tutasaidiana basi baada ya hapo visimu havishii vya uongo na kweli naumwa, mzee najikakamua nampatia pesa sasa mpaka sasa mimba ina miezi 4 na nipo nae mbali kidogo.
Namaanisha yupo mkoanii mimi nipo Dar kwahiyo nilikuwa nawasiliana nae video call namwambiaga nioneshe mwanangu anaendelea je ananionesha kitumbo kidogo kwakuwa sina uzoefu na mimba sijuii kama mimba kweli au laah kitu ambacho kimekuja kunistuwa ana post picha anavaa ma bel mashat na tumbo silionii kubwa maan sina uzoefu wa mimba lakini miezii 4 nahisii hata kitumbo kitaanza kujionesha.
Sasa topic hivii sasa hivii nikimpgia video call anani jibu anavyotaka yeye nikimwambia nioneshe mwanng hatakii anasema tuma buku 5 sasa mpaka nashtuka huyu mwanamke vipi amejisingizia ana mimba ili anipige pesa au nilimwambia una mimba kweli ana panic anasema mimba anayo tena yangu na nikimwambia nioneshe hatakii na mimi nipo Dar yeye yuko mkoanii.
Msaada wenu please waungwanaa kichwa chote kina stress 2 hapa🙏