pesa

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Muumini alitaka kanisa lirejeshe pesa zake kwa kuwa hana mpango wa kwenda mbinguni

    Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maazi Chukwudiaso Onyema ametoa maagizo hayo ya pesa alizotoa kwa miaka miaka mingi akidai hana nia ya kwenda mbinguni kama ilivyokuwa awali Onyema amerekodi video akilitaka Kanisa la Dunamis International kutimiza kile anachokitaka kwa kuwa alifanya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kutaka Daktari awepo kazini muda wowote unaomuhitaji ni uonevu, mkitaka hivyo ongezeni pesa ya overtime

    Kumbuka udaktari ni kazi kama kazi zingine. Mtu mpaka anakuwa daktari ametumia gharama zake kufika hapo, hakushushwa tu puuuh akawa daktari. Vilevile daktari kama wafanyakazi wengine wana muda wao wa kazi ambao kikawaida huwa ni masaa 8 baada ya hapo ana haki ya kufanya au kutofanya kazi mara...
  3. blogger

    JamiiForums Tanzania Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

    Gari ni muhimu... Ila haliingizi chochote. Zaidi ya kukumaliza tu. Bajaji ikipiga mishe vizuri kwa wiki naweza kuwa naweka kibindoni 150K na dereva anajilipa vizuri. Ushauri wenu.. MONEY IN A BANK.
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

    Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa! Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM inapaswa kudhibiti ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sio kudili na picha za ngono ambazo VPN inapiga kazi

    Mnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje? Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess? Huu sio wakati wa kudili na minor issues. Tunataka mdhibiti ufisadi. 👇
  6. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wanaona ni haki yao kupewa Pesa na Wanaume (Kuhongwa)?

    Wanawake sasa wanaona kuhongwa ni haki yao. Kupewa pesa imekuwa ni lazima, usipowapa pesa wanakuacha na kukupa majina yote mabaya. Yaani naanzaje kukupa wewe pesa kisa tu mbususu? Kila mtu afanye kazi zake alipe bills zake. Mimi nitahudumia watoto, familia, rent etc iwapo tutaoana. Lakini haya...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa huu upotevu wa pesa za umma tunaousikia huko bungeni, sioni umuhimu wa TAKUKURU ni Bora hii taasisi ifutwe!!

    Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!! Hatusikii kashikashi yoyote...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Video: Moja ya shule zilizojengwa kwa tozo, foreign reserve trilioni 1.3 na pesa za UVIKO

  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, sauti ya Luhaga Mpina ni sauti ya watanzania. Tupatie majibu, kwanini ujenge madarasa kwa pesa za foreign reserve? Ulisema za UVIKO zinatosha

    Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima? Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko? Tupe majibu watanzania
  10. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya joto lazidi kupanda

    Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini. Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa. "Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama." Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China? Kwa hiyo ni kusema...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mwigulu mzee wa proffesional ya uchumi. Kama pesa za Uviko zilijenga madarasa Mbona ulitumia bil 124 nje ya bajeti? Acha kumshambulia shujaa Mpina

    Kelele kibao na kejeli. Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe? Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi? Pesa za uviko zilijenga madarasa na mkatuambia yanatosheleza. Sasa kwa nini udokoe bil 124 nje ya bajeti?
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

    Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda. Nikashuka stendi nikamwambia boda nipeleke lodge nzuri nzuri. Baadaye nikaona nisichemke ngoja nimshirikishe mwenyeji wangu. Mwenyeji wangu sikuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Yanga SC na Udhamini wa Sports Pesa limethibitisha kuwa Wanaofeli Law School UDSM wanastahili

    Kama kila Mwanasheria / Wakili akienda tu Hewani Kuongea katika Redio na Runinga kuhusiana na Sakata la Yanga SC na Mdhamini Mkuu wao Kampuni ya Sports Pesa anasema lwake huku Wengine wakijichanganya kabisa kwanini tulilalamika na tunalalamika wanaosoma Law School of Tanzania Kufeli sana tofauti...
  14. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Ipi njia rahisi kutuma fedha nje ya nchi?

    Samahani, hivi ni njia ipi rahisi kutuma fedha nchi za nje?
  15. Refrector

    JamiiForums Tanzania Mining ni pesa isiyo na jasho

    Jamani watanzania tuamke Dunia inaenda mbio sana. Kama utang'ang'ana na biashara moja hakika kilio kwako kiuchumi kitakusonga hivyo jifunze kujivunia pesa mtandaoni kama wenzako wanavyofanya. Kwanini bando lako liwe la kufacebuka tu na kuwasapika tuu bila kuingiza hata mia... Shituka ingia...
  16. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Hawa "ma-pro pesa" wanaotoka jalalani wananifikirisha sana

    Wsalaam wana JF Hawa wasomi, wabobezi, wanaotumainiwa kuwa ni kielezo cha kuelimika na kusimamia yale waliyobobea wanakua ni laughingstock. Of cause adui wa kwanza ni njaa, na hii sometimes ni individual case, a case to case basis. Ila inapokua systematic, yaan the whole bunch of population...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

    Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara. Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, Jaji Biswalo anapaswa kujiuzulu haraka

    Leo Januari 31, 2023 Rais Samia amezungumzia suala la Plea Bargain, utaratibu wa Makubaliano ya Kumaliza Kesi kwa Kulipa Fedha kwa Serikali ambao ulitumika wakati wa Utawala wa Hayati Rais Magufuli chini ya DPP Biswalo Mganga aliyeondolewa na kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, huku akieleza...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Pesa za plea bargaining zimepotea. Well, that is interesting. Lakini sasa hivi watu wanataka kuiona serikali mpya ya Rais Samia

    Rais anatangaza kuunda serikali yake upya, halafu baadaye anakwenda Davos, anakwenda Dakar, anazitafuta pesa za plea bargaining. Mpaka unafikiria labda Rais amekumbana na kigingi katika mpango wake wa kuifumua serikali.
Back
Top Bottom