Kwa kilichotokea leo Sports Xtra ya Clouds FM, bado kuna mtu anaamini mchezo unaoitwa Mchongo Pesa?

Mwanangikolo

Member
Nov 10, 2022
51
73
Karibuni wanajamvi tushee hii stori.

====

Sawa ishu ilyotokea ni hivi wakati mtangazaji wa kipindi anampgia mtu waliyemuita mshindi wa droo ya mchongo pesa kwamba kajishindia milion 3, smart tv na jezi 3 za timu za nje. Akapokea huyo wamuitae wao mshindi kumuulza kama kacheza huo mchezo akadai hajacheza na wala hajawahi kucheza!

Kilichofuata ni watangazaji kujichekesha na kumaliza kipindi kwa aibu kubwa.
 
Sawa inshu ilyotokea ni hv wakat mtangazaji wa kipind anampgia mtu waliyemuita mshindi wa droo ya mchongo pesa kwamba kajishindia milion 3, smart tv na jezi 3 za timu za nje. Akapokea uyo wamuitae wao mshindi kumuulza kama kacheza uo mchezo akadai hajacheza na wala hajawah kucheza!!!

Kilichofuata ni watangazaji kujichekesha na kumalza kipindi kwa aibuu kubwa.
 
Kilichofuata ni watangazaji kujichekesha kama malaya kaona 🍺🍺 na kumalza kipindi kwa aibuu kubwa.
Sio walikosea namba labda, hawakuhakiki na kupiga tena?
 
Mshindi yupo msibani
Unaitwa nani; winny

Unaitwa winny nani; winifrida
Unaitwa winnifrida nani ; Rebecca
Rebecca? ; ndio
Umri wako; miaka 38
Unafanya kazi gani ; Sina kazi nafanya biashara ndogo
Umecheza mchongo pesa ; sijacheza

Winny au mtoto wako alicheza; mnanicheka au ningewatajia cheo changu
Hatukucheki ; mnanicheka si ndioo?
 
Wanaotaka hawapati wasiotaka wanapata na ujanja ni kupata anapewa nusu au robo ya kile alichotajiwa maisha mengine yaendelee
 
Sawa inshu ilyotokea ni hv wakat mtangazaji wa kipind anampgia mtu waliyemuita mshindi wa droo ya mchongo pesa kwamba kajishindia milion 3, smart tv na jezi 3 za timu za nje. Akapokea uyo wamuitae wao mshindi kumuulza kama kacheza uo mchezo akadai hajacheza na wala hajawah kucheza!!!

Kilichofuata ni watangazaji kujichekesha na kumalza kipindi kwa aibuu kubwa.

Umetumia muda kutafakari kwamba huenda aliyepigiwa simu alidhani kapigiwa na matapeli?

Au huenda aliyepigiwa simu, hakucheza kweli huo mchongo pesa bali mtu mwingine alitumia simu yake kucheza?
 
Back
Top Bottom