Mapenzi ya dhati(upendo) hutuliza nafsi kuliko pesa

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,679
12,364
Jaribu kua na ela alafu usiwe na amani na ukose ule upendo WA dhati ndo itakua hata ukiwa na pesa kias Cha kua afford hizi basic needs za kibinadam zote na luxury pia..Bado Kuna namna ya kukosa amani yaani inakua ujai vizuri ....upendo WA kweli unatuliza sana nafsi.
Ukiongezea na kupata a very good/clean sex...
Aisee afu ndo uwe na ela Sasa dah...acheni kabisa.unalala kama umekunywa a very fine wine.
 
Mimi nipendwe tu,hata hiyo sex nisiipate mwaka mzima, anipende tu aise

Umemaliza kila kitu hapo, kupendwa raha sana, when you find that special person who makes it all complete!!!
 
Kweli kabisa
Kama huna pesa ya kula, akili yote hupukutika kwenye kuwazia jinsi ya kuipata hiyo pesa na upendo automatically hukinai na hupotea. Lengo lakwanza nalifanikiwe uliuweze kufikia hatua ya pili. Kama uchumi si stable, yote utakayopata ni huruma za mtu au jamii nasio tafsiri halisi ya upendo.
 
Ingekuwa hivo maskini wasingeoa wasingekuwa na familia Kila mtu na alichopangiwa na mafanikio sio wote wamepangiwa wawe nayo
Na palipo na mapenz ndipo Pana huruma
 
Mafanikio ni sibjective kwakila mtu, wewe waweza kumuona maskini ila katika malengo yake ndio level aliyoridhika. Sikila mtu huwaza kuishi nje ya nchi kama mafanikio, ila kwamwingine ni mafanikio. Dunia ilishadhihirisha kuwa kuna watu wanaowa au kuolewa kwakumuonea mtu huruma lakini mwisho wake huwa mbaya sana. Huruma haijengwi na mapenzi na mapenzi hayajengwi kwahuruma laasivyo domestic abuse isingekuepo duniani. Basi yatafute maisha yako kwanza na kujiweka sawa ndio ulilie upendo na mapenzi kwamtu baki ambaye siyo mzazi wako maana kuwa na familia haimaanishi ndio mapenzi yapo.
 
Back
Top Bottom