Wana Songea, mbona mji wenu haukui? Tatizo ni nini?

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,995
heshima kwenu Wana JF wote

Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea.

Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini nyumba nyingi za zamani zilizo choka sasa hazipo ,Kuna fremu za maduka na ghorofa chache Sana.mji wa Songea bado haujapangika vizuri mipango miji mna kazi Sana ya kufanya.

Kwa upande wa barabara wamejitahidi, nasikia miradi ya awamu ya tano ,zile barabara za mjini zilizokuwa za vumbi saizi zimewekwa rami,mfano barabara ya majengo mtumbani,barabara ya sovi inashuka chini mpaka jangwani bar,barabara ya matiko hoteli, barabara ya mateka,kanisani mpaka la chalz bar nk.

Shule nyingi za msingi zimechoka sana na Zina Hali mbaya na zingine ziko town kabisa mfano shule ya mfaranyaki,majengo,misufini nk mazingira yake sio mazuri,Japo shule nyingi upande wa choo wamejitahidi na madarasa ya uviko kila shule ukipita unayakuta madarasa 2 tu ndo yako kwenye Hali nzuri.

Ile stendi ya zamani imepoa Sana sio kama kipindi kile, manispaa wanasema wanapanua mji uko ilipo stendi kuu mitawa bado polini sana,huduma za jamii nyingi hakuna, network tu inasumbua.

Kanisa kuu la Songea liko vizuri na linapendeza,Kuna ukarabati mkubwa Sana umefanyika limebadirika Sana.

Msikiti wa wilaya na wenyewe kwa kiasi chake uko vizuri na kipindi hiki Cha ramadhani ukienda jioni kunapendeza Sana Ila tu msikiti wa mkoa umechoka Sana ile fensi, yake imebomoka na nyasi nyingi mpaka karibu na msiki,sijui waislamu wa Songea Wana shida gani na msikiti wa mkoa

Uwanja wa majimaji bado upo kwa ndani uko vizuri kiasi Ila kwa nje umechoka sana.

Songea hakuna timu hata ya ligi kuu wakati ni Sehemu ya watu wake wanapenda Sana mpira,timu ya majimaji sijui imekufa wapi haieleweki.

Saizi Kuna timu tu ya mbeya Kwanza ipo championship,mechi zake wanacheza katika uwanja wa majimaji,labda kidogo inaleta burudani kwa wakazi wa hapa.

Mitaa mingi bado Iko vilevile mtaa wa majengo,pale mjini,mfaranyaki,ruvuma nyumba nyingi zimechoka sana,sijui wa kazi wa maeneo haya Wana maisha gani?

Soko la manzese nimekuta limebomolewa,wafanyabiashara wa pale wapo kwenye masoko madogo, bombambili, mfaranyaki na mji mwema,nasikia manispaa wanataka kujenga soko la kisasa Ila Kuna utata bado Mana mwaka sasa unakaribia ujenzi haujaanza ata kidogo.

Kingine wangoni nasikia mmesusa kuyapigania maendelea ya mkoa wenu,vijana wengi ni jobless wapo tu kwenye vijiwe na wengine wako kwenye bodaboda,mmewachia viongozi tu.

Nimepita mtaa wa majengo na ruvuma vijana wengi Sana wahuni na walevi nimekutana na baadhi ya rafiki zangu wa kipindi icho wamechoka sana mpaka huruma aisee na baadhi ya mabinti wa Songea hela yako tu unapewa mbususu hasa mitaa ya majengo, mfaranyaki,ruvuma na mjini pale na Hiv + ipo Sana kwa Kasi songea.

Wangoni mnafeli wapi au viongozi hawana uchungu na wilaya hii,mnapitwa hadi na wilaya ya mbinga.

Baadhi ya maeneo niliotembelea nikiwa hapa Songea.

Nawasilisha.
 
Nilishakimbia huko kitambo sana
Maana watu wa kule walio wengi hawataki maendeleo ya wenzao kabisa!!?
 
Mkuu mbon mitaa ya lizaboni,ruhuwiko,matarawe,mji mwema hujaiataja songea ndy home kwetu,

Back to the point,Ni kweli songea bado iko nyuma maendeleo yapo ila ni slow hasa vijana wengi wa songea ni kama hawana spirit ya kupambana kusaka maendeleo.

Mashamba songea ni mengi na mazao yanakubali lakin vijana wapo tu mashamba yanapatikana mpaka 30k kununua lakin wengi wanakomaa na boda tuu ajab boda zenyewe ni za mikataba.

Wazee wa huo mji wanapaswa wabadirishe mindset za wanao ili angalau hata wageni wanapotembelea waone mabadiriko
 
SIjajua shida ni Nini songea ni mji maarufu Sana na WA miaka mingi ni mji ambao ilitakiwa uwe unakula ligi na mbeya huko ila chaa ajabu tayari umeanza kuachwa na miji ya juzi tu mfano ukipita makambako pamechangamka kweli kweli
 
maxresdefault(19).jpg
 
Ukichunguza kiundani Sana tatizo hili si la songea tu miji ming ambayo ni makao makuu ya mkoa Inapata challenge kubwa Sana na miji ambayo sio makao makuu ya mkoa kutokana na position na fursa mfano mzuri kama umetembelea mikoa hii utaamini nacho kiongea mkoa wa shinyanga ,kahama inazidi shinyanga , 2 mkoa wa njombe makambako inazidi njombe 3 mkoa songwe tunduma ipo juu hii ni kutokana na fursa za kibiashara na mwingiliano wa watu hivyo hata mbinga itafanya mageuzi kupitia makaa ya mawe
 
Hao wape Hela watafikisha, lakini yale mambo lazima utata utokee.

Nasikia wanawake wa kingoni ukiwa unatwanga, wanaimba kolas/charus vizuri mwanzo mwisho
 
Mk
Mkuu mbon mitaa ya lizaboni,ruhuwiko,matarawe,mji mwema hujaiataja songea ndy home kwetu,

Back to the point,Ni kweli songea bado iko nyuma maendeleo yapo ila ni slow hasa vijana wengi wa songea ni kama hawana spirit ya kupambana kusaka maendeleo.

Mashamba songea ni mengi na mazao yanakubali lakin vijana wapo tu mashamba yanapatikana mpaka 30k kununua lakin wengi wanakomaa na boda tuu ajab boda zenyewe ni za mikataba.

Wazee wa huo mji wanapaswa wabadirishe mindset za wanao ili angalau hata wageni wanapotembelea waone mabadiriko
Mkuu shukrani kwa taarifa, naomba kuuliza hayo mashamba ya kununua kwa 30k yanakuwa na ukubwa gani? na yanapatikana wilaya ipi na vipi hali ya hewa ikoje inasapoti mazao gani?
 
heshima kwenu Wana JF wote

Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea.

Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini nyumba nyingi za zamani zilizo choka sasa hazipo ,Kuna fremu za maduka na ghorofa chache Sana.mji wa Songea bado haujapangika vizuri mipango miji mna kazi Sana ya kufanya.

Kwa upande wa barabara wamejitahidi, nasikia miradi ya awamu ya tano ,zile barabara za mjini zilizokuwa za vumbi saizi zimewekwa rami,mfano barabara ya majengo mtumbani,barabara ya sovi inashuka chini mpaka jangwani bar,barabara ya matiko hoteli, barabara ya mateka,kanisani mpaka la chalz bar nk.

Shule nyingi za msingi zimechoka sana na Zina Hali mbaya na zingine ziko town kabisa mfano shule ya mfaranyaki,majengo,misufini nk mazingira yake sio mazuri,Japo shule nyingi upande wa choo wamejitahidi na madarasa ya uviko kila shule ukipita unayakuta madarasa 2 tu ndo yako kwenye Hali nzuri.

Ile stendi ya zamani imepoa Sana sio kama kipindi kile, manispaa wanasema wanapanua mji uko ilipo stendi kuu mitawa bado polini sana,huduma za jamii nyingi hakuna, network tu inasumbua.

Kanisa kuu la Songea liko vizuri na linapendeza,Kuna ukarabati mkubwa Sana umefanyika limebadirika Sana.

Msikiti wa wilaya na wenyewe kwa kiasi chake uko vizuri na kipindi hiki Cha ramadhani ukienda jioni kunapendeza Sana Ila tu msikiti wa mkoa umechoka Sana ile fensi, yake imebomoka na nyasi nyingi mpaka karibu na msiki,sijui waislamu wa Songea Wana shida gani na msikiti wa mkoa

Uwanja wa majimaji bado upo kwa ndani uko vizuri kiasi Ila kwa nje umechoka sana.

Songea hakuna timu hata ya ligi kuu wakati ni Sehemu ya watu wake wanapenda Sana mpira,timu ya majimaji sijui imekufa wapi haieleweki.

Saizi Kuna timu tu ya mbeya Kwanza ipo championship,mechi zake wanacheza katika uwanja wa majimaji,labda kidogo inaleta burudani kwa wakazi wa hapa.

Mitaa mingi bado Iko vilevile mtaa wa majengo,pale mjini,mfaranyaki,ruvuma nyumba nyingi zimechoka sana,sijui wa kazi wa maeneo haya Wana maisha gani?

Soko la manzese nimekuta limebomolewa,wafanyabiashara wa pale wapo kwenye masoko madogo, bombambili, mfaranyaki na mji mwema,nasikia manispaa wanataka kujenga soko la kisasa Ila Kuna utata bado Mana mwaka sasa unakaribia ujenzi haujaanza ata kidogo.

Kingine wangoni nasikia mmesusa kuyapigania maendelea ya mkoa wenu,vijana wengi ni jobless wapo tu kwenye vijiwe na wengine wako kwenye bodaboda,mmewachia viongozi tu.

Nimepita mtaa wa majengo na ruvuma vijana wengi Sana wahuni na walevi nimekutana na baadhi ya rafiki zangu wa kipindi icho wamechoka sana mpaka huruma aisee na baadhi ya mabinti wa Songea hela yako tu unapewa mbususu hasa mitaa ya majengo, mfaranyaki,ruvuma na mjini pale na Hiv + ipo Sana kwa Kasi songea.

Wangoni mnafeli wapi au viongozi hawana uchungu na wilaya hii,mnapitwa hadi na wilaya ya mbinga.

Baadhi ya maeneo niliotembelea nikiwa hapa Songea.

Nawasilisha.

Ndo hali halisi ya Songea,Songea hakuna upinzani ni ccm tu!just imagine
 
Mk
Mkuu shukrani kwa taarifa, naomba kuuliza hayo mashamba ya kununua kwa 30k yanakuwa na ukubwa gani? na yanapatikana wilaya ipi na vipi hali ya hewa ikoje inasapoti mazao gani?
Ukubwa wa hekari moja unapata kuanzia 30k hadi 50k,Yanapatikana wilaya ya songea ( vijijini) ,mazao yanayokubali hasa ni mahindi,maharage,ufuta,soya na karanga
 
Back
Top Bottom