pesa

  1. JamiiForums Tanzania Kuna faida zozote za kumtumia Architect? Ama ni kupoteza pesa tu?

    Wakuu, Katika hatua za awali kabisa za kuanza ujenzi, kuna faida gani kumtumia Architect (msanifu ujenzi)? Ama ni wastage of money na hamna ulazima?
  2. JamiiForums Tanzania Wamarekani weusi wanaokuja Tanzania wanalalamika sana tunawabagua, maisha magumu, wanarudi Marekani pesa yote imekata, Shida ipo kwao sio kwetu ?

    ukiingia Youtube sikuhizi kuna wamarekani weusi wana ajenda yao ya go back to Africa, yaani kurudi Afrika, wanakuja nchi za Afrika ikiwemo Tanzania lakini wanafeli maisha wakifika huku, kinachofuata huwa ni kuandaa video za malalamiko kwamba tunawabagua, maisha magumu, n.k. Mimi kwa mtazamo...
  3. JamiiForums Tanzania Nimetumiwa pesa toka CRDB kuja Airtel money tangu jana Alhamis hadi leo Ijumaa haijaingia

    Naombeni msaada Nifanyaje jana mafundi walikuwa site nusu wanipige makofi. Pesa imetumwa kutoka CRDB kuja Airtel money tangu jana alhamis saa 12 jion hadi saiz naandika ni saa 12 asubuh pesa haijafika CRDB Wanasema pesa imeshatumwa Airtell Money wanasema hakuna muamala wowote.
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume alieanza kujitafutia sio sawa kumtumia pesa mama badala ya baba, Sio sawa hata kidogo kusema nani kama mama

    Hii ni maada kwajili ya wanaume ambao tayari wameanza kujipambania na wanajua hali ilivyo, wale ambao bado hamjaanza au mna shughuli zenu ila mnakaa kwa wazazi mpishe kidogo. Wewe mwanaume ambae ni kichwa cha familia na unajua jinsi upambanaji ulivyo, umepambana kutafuta pesa ya chakula...
  5. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zina uhakika wa kushinda mechi 20+ kati ya 30, je kuna mbinu ya kuweza kupiga pesa kwenye beting?

    Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi Je, pana uwezekano wa kupiga pesa? Mapato utayopata wakishinda mechi 20 kati ya 26 (ukiondoa 4 za debi na azam) yatazidi pesa...
  6. JamiiForums Tanzania Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

    Huyu mpenzi wangu nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila nikiacha hela asubuhi, hata kama ni nyingi, lazima aitumie yote. Mfano; Leo niliacha elfu 50 na ndani kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k. Lakini nimerudi nakuta imetumika...
  7. JamiiForums Tanzania kampuni ya sports pesa tambueni kuwa mla huliwa....

    kampuni ya sports pesa kila siku mnakula pesa za vijana wanaoshinda wakibahatisha michezo mbalimbali, ila nyinyi mkiliwa mnaumia sana...jana nimeweka 50000 kwa mechi ya singida united na jku dakika ya arobaini na nane naona pesa yangu inarudishwa kwangu , wananitumia meseji kuwa mechi...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

    Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao. Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na...
  9. JamiiForums Tanzania Waathirika wa dawa za kulevya wameanza kurudi kwa kasi mitaani huku baadhi ya vijana wakichezea pesa kama vile zinaokotwa, pana uhusiano?

    Naona kwa sasa ile hali ya wateja wa dawa za kulevya imeanza kurudi kwa kasi, kukutana na mteja sugu yupo sehemu anaskilizia stimu ni kawaida. kile kipindi Magu alipofariki baada ya mwezi hivi kuna boti kubwa sana ya madawa ilikamatwa ile wiki ambayo kulitabiriwa kuwepo kimbunga huko Mtwara...
  10. JamiiForums Tanzania Hamna mwanamke mwenye msimamo pesa ikihusika

    Nilikutana na manzi mmoja nikawa nae kimahusiano, kabla hajanijua sana nafanya mishe gani na kiuchumi nikoje alikuwa na masharti sana, kwanza nilikuwa nikitaka utamu mara kwa mara akadai ye hajazoea na hawezi so nikawa naambulia mara 1 kwa mwezi 😭😭, ikaenda mambo yakawa kibao, ikawa nakula tunda...
  11. JamiiForums Tanzania Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

    Shalom, Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee. Style wanayotumia ni hii Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana oeni wanawake wanaowapenda, pesa zako sio chochote ndani ya mapenzi na ndoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Asikudanganye mtu yeyote yule, pesa haina nguvu yeyote kwenye mapenzi. Pesa hainunui mapenzi, haijawahi kununua mapenzi. Pesa inaweza kununua ngono lakini kamwe haitoweza kununua upendo wa kweli. Elewa kuwa pesa inagawanyika lakini mapenzi hayagawanyiki. Elewa...
  13. JamiiForums Tanzania Sio kila mtu anahitaji msaada wa pesa hasa wanawake

    Huwa nawashangaa vijana wanaopambana ili kuwapa wanawake pesa, honestly they know nothing kuhusu maisha. Mtu ambaye anatembea na wanaume tofauti ili tu apate kula, kuvaa na kulipa kodi au bills zake then akiachwa huku akakimbilia kule. Fahamu tu kuwa watu kama hawa akili zao zipo broke that...
  14. JamiiForums Tanzania MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

    VIjana wengi wamekua na tamaa ya kutajirika haraka na kujikuta wanaingia kwenye Ponzi Scheme na kupoteza pesa za Ada na za Matumizi wanazolipiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu na wazazi wao pia. Hivi karibuni pameibuka Ponzi Scheme inayoitwa MFTE ambayo inajinasibu kuendesha biashara ya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Elon Musk anagawa pesa Twitter (X) lakini sioni Watanzania wakinufaika na migao ya Elon

    Kule X ama Twitter Bwana mkubwa Tajiri namba moja Duniani, mmiliki wa makampuni ya Tesla, X, X.al, Boring Company, Space X na makampuni mengine mbali mbali alianzisha utaratibu wa kuwalipa watengeneza maudhui kule kwenye mtandao wake. Nimekua nikiona wadau mbalimbali wa nchi mbali mbali...
  16. JamiiForums Tanzania Binti mdogo anayemfungia ndani Mama yake mgonjwa aliyepooza kutwa nzima na kwenda kutafuta pesa za kumuhudumia inaumiza wengi mtaani

    Ni Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6. Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku...
  17. JamiiForums Tanzania Simba acheni uhuni mlipeni Phiri pesa yake

    Wakuu Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba. Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.! Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

    Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali. Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

    Habari wadau, Nilikuwa nawadharau sana vijana wanaoimbaimba na kucheza cheza TikTok. Nawaona wapuuzi hawana kazi ya kufanya na wajinga. Mtoto wa shangazi yangu ni mmojawapo wa hao wapuuzi wa TikTok. Ana followers laki 6 huko TikTok. Ni binti ana miaka 21 na anasoma chuo kikuu kimojawapo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukibahatika kuwa na hela nyingi usizitumie kufanya uovu. Kuna faida gani kuoa mwanaume mwenzio sababu ya pesa?

    WanaJF ninaandika huu uzi baada ya kusoma machapisho mbalimbali mitandaoni na mimi mwenyewe kujionea mambo mengi maovu. Watu wengi wenye pesa wamekuwa chanzo cha maovu mengi sana. Ni kawaida watu wengi wenye pesa kutaka kufanya mambo ambayo ni ufedhuli uliopotiliza. Kuna wengi wanatumia fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…